Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Sep 12, 2024 #81 Mhafidhina07 said: kituo au kibanda cha polisi? Click to expand... Wameishia kununua maji ya washawasha
Mhafidhina07 said: kituo au kibanda cha polisi? Click to expand... Wameishia kununua maji ya washawasha
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 14,588 Reaction score 32,361 Sep 12, 2024 #82 Donnie Charlie said: haiwezi kusaidia zaidi ya kuongeza mpasuko Click to expand... Hao wananchi 800 wameutaka wenyewe huo mpasuko acha wapasuke
Donnie Charlie said: haiwezi kusaidia zaidi ya kuongeza mpasuko Click to expand... Hao wananchi 800 wameutaka wenyewe huo mpasuko acha wapasuke
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 7,557 Reaction score 20,477 Sep 12, 2024 #83 Na utakuta kuna Afande ana kitambi zipu yake haioni bila msaada wa kioo
N nabiidaniel JF-Expert Member Joined Feb 25, 2014 Posts 1,937 Reaction score 2,678 Sep 13, 2024 #84 rip faza_nelly said: Mtoto mmoja alikuwa kabebwa na baba yake na mwengine ni wa kaka wa mama wa huyo mtoto. Kwa kifupi wasukuma walitaka kuwaua wazazi wa hao watoto. Click to expand... Kipi lilikuwa cha ajabu hadi wananchi wakakasirika? Kwamba wasukuma hawajawahi kuona mtoto akibebwa na baba yake, si kweli
rip faza_nelly said: Mtoto mmoja alikuwa kabebwa na baba yake na mwengine ni wa kaka wa mama wa huyo mtoto. Kwa kifupi wasukuma walitaka kuwaua wazazi wa hao watoto. Click to expand... Kipi lilikuwa cha ajabu hadi wananchi wakakasirika? Kwamba wasukuma hawajawahi kuona mtoto akibebwa na baba yake, si kweli
charrote JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 1,848 Reaction score 4,146 Sep 26, 2024 #85 hicho ni kituo cha polis cha binafsi au cha serekali?