Kajinyonge mkuu!! Chato itaendelea kuwepo hadi ufe!!Hakika hii nchi watanzania tumepitia mitihani mikubwa.
Tazama miradi hapo chini jinsi inavyoonekana sasa hivi inaoza.
Kwa mtanzania lazima upate uchungu kwa upotevu huu wa mali za umma.View attachment 2552696
Umeomgea fact sana mkuuMheshimiwa alikua na msimamo sana. Alichokipanga kichwani kwake ilikua lazima akitimize. Najua alitamani sana kuwainua watu wa Chato maana ni kwao. Ni kitu kizuri, ila angewasaidia kwa kufuata utaratibu unaotumika kuinua wilaya zingine hapa nchini na sio kufanya ki upendeleo kama alivyofanya yeye.
Kilichomuharibia, hakua smart kwenye ulimwengu wa siasa na uchumi. Fedha za umma huwezi kuzitumia hivyo. Alishindwa kuset vizuri na kuzisimamia priorities za nchi.
Achana na Chato, ulishawahi kwenda ile Stand kubwa ya Dodoma? Jengo kubwa, vyumba vingi ambavyo havijapangishwa, eneo kuuuubwaaa for what? Kwanza Bus nyingi hazipiti pale. Siku za katikati ya wiki ukiwa unahitaji kusafiri haraka ukaenda kule nanenane ndio umebugi kabisa, hamna kitu. Pamepoa vibaya mno mpaka unajiuliza nini ilikua Motives ya Serikali kuweka nguvu kubwa hivi? Bora hata wangefanya Chuo pangekua utilized vizuri kuliko walivyofanya Stand lile eneo!
Anyway, kila mtu na kichwa chake!
Nakumbuka wakati Ndumbalo yupo waziri wa malia asili aliwahi kusema kuwa chato ni pivot ya utalii mbele ya Jiwe
Mtabakia na ndege wale wenye midomo mirefu tu wanao kula dagaaKajinyonge mkuu!! Chato itaendelea kuwepo hadi ufe!!
Sasa mkuu wewe kama Sukuma gang unaweza au umewahi kuona nini?Kwani kuna Wilaya ambayo haikupata Stendi? Tena si bora Chato palichelewa sana hiyo stendi imemalizika mwaka jana?
Juzi nilifika Iringa huko Stand mpya Igumilo sijui wanapaita pamepoa vibaya mno! Nenda Kibaha stand ilipo! Nafikiri walikuwa na malengo ya kutanua miji kwaiyo sion kama ni issue
Uwepo wa hayo majengo yasiyo na watu kusionekane kama ndio mwisho wa dunia, hapo kinachotakiwa kufanyika ni serikali kusogeza huduma za jamii eneo husika, mfano wahamishie soko karibu, na magari ya abiria yatakiwe kuingia hapo stand, hapatuchukua muda mrefu patachangamka tu.
Kwahiyo kwa akili yako mfu unafikiri ni sahihi serikali kuendelea na project isiyokuwa na tija kwa taifa?
Acha porojo mradi aujakamilika kwa sababu serikali aijapeleka hela za kuumalizia na zingine mkandarasi kaanza nazo kazi ajafanya.
Hiyo stand aijawahi kufunguliwa rasmi kwa matumizi ya mabasi ndio maana ipo ivyo; serikali ya Bi Tozo ndio imeitelekeza mradi sio kwamba auna tija.
Sasa mnalalamika nini? Nani kawakataza serikali wasiendeleze? Alie anzisha alikuwa na lengo zuri kwa wananchi..
Basi nendeni mbomoe na mabati pelekeni. Project ngapi za jpm zimetekekezwa?
Mnajifanya kujizima data.
Sio bukoba2 hata kahama na geita nao wanatia huruma2 stendi zao hazielewek.Bukoba pale wanatia huruma sana
Why duniani maana mwajivunia na mabunduki, kule tuko sawa tunazichapa, na wenda unanikuta ndo mkaribisha wageni ,au nyampara au niko na kazi mahalum ndo utajua hujuiUlishindwa duniani utaweza huko kusiko julikana
Nakumbuka wakati Ndumbalo yupo waziri wa malia asili aliwahi kusema kuwa chato ni pivot ya utalii mbele ya Jiwe
Pale mabasi ya mikoa yanapita tu.
Hakuna mabasi makubwa yanayokwenda mikoani yanayoanzia safati hapo Chato ama kumalizia safari .
Tuone na midege yetu ikipishana kutua na kupaaTupia na ule uwanja wa ndege
Sisi tunaendelea kula nchi tu naikifika 2025 unapigwa tena ya kichwa kama kawa!! Then uanze tena kulalamika. Mbowe ameshawajulia jinsi ya kubadirisha gia angani sasa hivi yeye anakula kuku kwa mrija wewe umebaki kulalamika hapa JF. Daraja la Magufuli huku Busisi linaendelea vizuri sana tu mkuu. Endelea kuumia mpaka kifo chako. Pole sana mkuu!!Mtabakia na ndege wale wenye midomo mirefu tu wanao kula dagaa
Hii ndio dawa sema serikali labda inampango ya kukomoa wafuasi wa magufuliUwepo wa hayo majengo yasiyo na watu kusionekane kama ndio mwisho wa dunia, hapo kinachotakiwa kufanyika ni serikali kusogeza huduma za jamii eneo husika, mfano wahamishie soko karibu, na magari ya abiria yatakiwe kuingia hapo stand, hapatuchukua muda mrefu patachangamka tu.
Jambo hili halifanyiki kwa bahati mbaya,kwa sababu wale wanaoyafanya haya.tunawajua na tunawaelewa historia zao.Ni ushirika ulioundwa makusudi ili kutimiza malengo yao upya.Hii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
View attachment 2552469
Huo ni mpango wa serikali awamu hii kutaka kumkomoa marehemu tuuHawana akili ya kufikiria na hili, hiyo project haiwezi kuwa hasara ikiwa huduma za kijamii na idadi ya watu vinaongezeka, hii ndo namna bora ya kujenga na kuendeleza miji.