Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Mheshimiwa alikua na msimamo sana. Alichokipanga kichwani kwake ilikua lazima akitimize. Najua alitamani sana kuwainua watu wa Chato maana ni kwao. Ni kitu kizuri, ila angewasaidia kwa kufuata utaratibu unaotumika kuinua wilaya zingine hapa nchini na sio kufanya ki upendeleo kama alivyofanya yeye.

Kilichomuharibia, hakua smart kwenye ulimwengu wa siasa na uchumi. Fedha za umma huwezi kuzitumia hivyo. Alishindwa kuset vizuri na kuzisimamia priorities za nchi.

Achana na Chato, ulishawahi kwenda ile Stand kubwa ya Dodoma? Jengo kubwa, vyumba vingi ambavyo havijapangishwa, eneo kuuuubwaaa for what? Kwanza Bus nyingi hazipiti pale. Siku za katikati ya wiki ukiwa unahitaji kusafiri haraka ukaenda kule nanenane ndio umebugi kabisa, hamna kitu. Pamepoa vibaya mno mpaka unajiuliza nini ilikua Motives ya Serikali kuweka nguvu kubwa hivi? Bora hata wangefanya Chuo pangekua utilized vizuri kuliko walivyofanya Stand lile eneo!

Anyway, kila mtu na kichwa chake!
Umeomgea fact sana mkuu
 
Nakumbuka wakati Ndumbalo yupo waziri wa malia asili aliwahi kusema kuwa chato ni pivot ya utalii mbele ya Jiwe

Kwani kuna Wilaya ambayo haikupata Stendi? Tena si bora Chato palichelewa sana hiyo stendi imemalizika mwaka jana?

Juzi nilifika Iringa huko Stand mpya Igumilo sijui wanapaita pamepoa vibaya mno! Nenda Kibaha stand ilipo! Nafikiri walikuwa na malengo ya kutanua miji kwaiyo sion kama ni issue
Sasa mkuu wewe kama Sukuma gang unaweza au umewahi kuona nini?
 
Uwepo wa hayo majengo yasiyo na watu kusionekane kama ndio mwisho wa dunia, hapo kinachotakiwa kufanyika ni serikali kusogeza huduma za jamii eneo husika, mfano wahamishie soko karibu, na magari ya abiria yatakiwe kuingia hapo stand, hapatuchukua muda mrefu patachangamka tu.

Maendeleo hayalazimishwi. Kama stand ipo na watu hawaihitaji means haikua na haja Period
 
Acha porojo mradi aujakamilika kwa sababu serikali aijapeleka hela za kuumalizia na zingine mkandarasi kaanza nazo kazi ajafanya.

Hiyo stand aijawahi kufunguliwa rasmi kwa matumizi ya mabasi ndio maana ipo ivyo; serikali ya Bi Tozo ndio imeitelekeza mradi sio kwamba auna tija.

Kwahiyo kwa akili yako mfu unafikiri ni sahihi serikali kuendelea na project isiyokuwa na tija kwa taifa?

Huoni kama kuendeleza project kama hiyo ni kujiingizia hasara zaidi?

Kuna miradi ina make sanse kama SGR, daraja Kigongo-Busisi na Stiglers Gorge.

Hiyo ya aiport na standa kubwa Chato ni miradi mfu.

Jamaa alitakiwa afufuliwe aje kujibu mashtaka ya embezzlement
 
Sasa mnalalamika nini? Nani kawakataza serikali wasiendeleze? Alie anzisha alikuwa na lengo zuri kwa wananchi..

Basi nendeni mbomoe na mabati pelekeni. Project ngapi za jpm zimetekekezwa?

Mnajifanya kujizima data.

kwanini za nyumbani kwake zigome? kwamba serikali ndio imezuia watu wasiingie CRdB chato? serikali ndio imekataza ndege zisitue chato?? serikali ndio imezuia watalii wasiende chato?? Serikali ndio Imekataza Magati yasipite kwenye yraffic light chato ila punda wapite?

maendeleo hayalazimishwi, Mkulu alikunya pembeni
 
Mtabakia na ndege wale wenye midomo mirefu tu wanao kula dagaa
Sisi tunaendelea kula nchi tu naikifika 2025 unapigwa tena ya kichwa kama kawa!! Then uanze tena kulalamika. Mbowe ameshawajulia jinsi ya kubadirisha gia angani sasa hivi yeye anakula kuku kwa mrija wewe umebaki kulalamika hapa JF. Daraja la Magufuli huku Busisi linaendelea vizuri sana tu mkuu. Endelea kuumia mpaka kifo chako. Pole sana mkuu!!
 
Uwepo wa hayo majengo yasiyo na watu kusionekane kama ndio mwisho wa dunia, hapo kinachotakiwa kufanyika ni serikali kusogeza huduma za jamii eneo husika, mfano wahamishie soko karibu, na magari ya abiria yatakiwe kuingia hapo stand, hapatuchukua muda mrefu patachangamka tu.
Hii ndio dawa sema serikali labda inampango ya kukomoa wafuasi wa magufuli
 
Jambo hili halifanyiki kwa bahati mbaya,kwa sababu wale wanaoyafanya haya.tunawajua na tunawaelewa historia zao.Ni ushirika ulioundwa makusudi ili kutimiza malengo yao upya.
Ndio hao wanaogawana keki ya nchi hii kama ilivyokuwa mazowea kabla ya 2015.
Wengine wakijiita walamba asali.

Kuanzia EPA,RICHMOND MEREMETA, SYMBION POWER na ma uozo lukuki yaliykuwa yameichungulisha kaburi "CCM."
Ikiwemo na ile HOME SHOPPING CENTER ambayo sasa ndio SILENT OCEAN. Ambayo Mzee Asali Junior aliwauxia kiwanja cha CCM.kinyemela wakati akiwa K/M CCM asali ilee!
Ambapo sasa ndio makao makuu yao hao "Bahari kimya".

Pale alipoingia Magufuli na kuanza kuusafisha huu uozo.
Na ndipo CCM na wafuasi wake walipopata nguvu mpya ya kukijenga upya chama.
Hadi leo wanapopata nafasi ya kumsimanga wakati akiwa hayupo tena mbele za familia yake!

*Magufuli kafa na kuacha...
*IKULU mpya ya Chamwino.
*ATCL mpya.
*SGR Mpya.
*Nyumba mpya za Magomeni.
*Mabweni Mapya UDSM.
*Daraja jipya la Tanzanite.
*Daraja jipya la Wami.
*Bwawa jipya la umeme JNHP.
*Stendi kuu za mabasi za kisasa Dodoma,Morogoro na Mwanza.
*Meli mpya Ziwa Victoria na ukarabati wa Mv Victoria.
*Meli Mpya ziwa Nyassa.
*Ndege na Helikopta mpya jeshini.

Pia kanunua Rada mpya nne nchini na kuondoa utegemezi wa Rada za Kenya.

Akafhibiti utoroshaji madini Mererani kwa kujenga ukuta na akaanzisha madoko huru ya madini nchi nzima.

Akazuia utoroshaji wa fedha kupitia utitiri wa Bureau de change mitaani.

Akarudisha nidhamu kwa watumishi sekta ya Umma na hakusita kutumbua mtu kwa uzembe hata kama alikuwa rafiki yake kama Charles Kitwanga.

Akaondoa vyeti feki na mushahara hewa nchi nzima.

Amekufa na kuiacha Tanzania ikiwa uchumi wa kati tukiwa kasi ya ukuaji ya 7.1%.

Yote haya ameyafanya ndani ya miaka mitano.halafu wajinga fulani wanajikusanya na kudhani wanaweza kuja kuizima legacy ya mtu kama huyu kwa kusjiri wajinga fulani mitandaini ili kumtukana?

Itakuwa ngumu sana hilo kutokea na labda mkabomowe hiyo miradi na kuwauwa wale wote wanamkubali na kumkumbuka Magufuli.
 
Hii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
View attachment 2552469
Jambo hili halifanyiki kwa bahati mbaya,kwa sababu wale wanaoyafanya haya.tunawajua na tunawaelewa historia zao.Ni ushirika ulioundwa makusudi ili kutimiza malengo yao upya.
Ndio hao wanaogawana keki ya nchi hii kama ilivyokuwa mazowea kabla ya 2015.
Wengine wakijiita walamba asali.

Kuanzia EPA,RICHMOND MEREMETA, SYMBION POWER na ma uozo lukuki yaliykuwa yameichungulisha kaburi "CCM."
Ikiwemo na ile HOME SHOPPING CENTER ambayo sasa ndio SILENT OCEAN. Ambayo Mzee Asali Junior aliwauxia kiwanja cha CCM.kinyemela wakati akiwa K/M CCM asali ilee!
Ambapo sasa ndio makao makuu yao hao "Bahari kimya".

Pale alipoingia Magufuli na kuanza kuusafisha huu uozo.
Na ndipo CCM na wafuasi wake walipopata nguvu mpya ya kukijenga upya chama.
Hadi leo wanapopata nafasi ya kumsimanga wakati akiwa hayupo tena mbele za familia yake!

*Magufuli kafa na kuacha...
*IKULU mpya ya Chamwino.
*ATCL mpya.
*SGR Mpya.
*Nyumba mpya za Magomeni.
*Mabweni Mapya UDSM.
*Daraja jipya la Tanzanite.
*Daraja jipya la Wami.
*Bwawa jipya la umeme JNHP.
*Stendi kuu za mabasi za kisasa Dodoma,Morogoro na Mwanza.
*Meli mpya Ziwa Victoria na ukarabati wa Mv Victoria.
*Meli Mpya ziwa Nyassa.
*Ndege na Helikopta mpya jeshini.

Pia kanunua Rada mpya nne nchini na kuondoa utegemezi wa Rada za Kenya.

Akafhibiti utoroshaji madini Mererani kwa kujenga ukuta na akaanzisha madoko huru ya madini nchi nzima.

Akazuia utoroshaji wa fedha kupitia utitiri wa Bureau de change mitaani.

Akarudisha nidhamu kwa watumishi sekta ya Umma na hakusita kutumbua mtu kwa uzembe hata kama alikuwa rafiki yake kama Charles Kitwanga.

Akaondoa vyeti feki na mushahara hewa nchi nzima.

Amekufa na kuiacha Tanzania ikiwa uchumi wa kati tukiwa kasi ya ukuaji ya 7.1%.

Yote haya ameyafanya ndani ya miaka mitano.halafu wajinga fulani wanajikusanya na kudhani wanaweza kuja kuizima legacy ya mtu kama huyu kwa kusjiri wajinga fulani mitandaini ili kumtukana?

Itakuwa ngumu sana hilo kutokea na labda mkabomowe hiyo miradi na kuwauwa wale wote wanamkubali na kumkumbuka Magufuli.
 
Hawana akili ya kufikiria na hili, hiyo project haiwezi kuwa hasara ikiwa huduma za kijamii na idadi ya watu vinaongezeka, hii ndo namna bora ya kujenga na kuendeleza miji.
Huo ni mpango wa serikali awamu hii kutaka kumkomoa marehemu tuu
 
Back
Top Bottom