Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Kama Zanzibar inavyotunyonya Sasa yaani wanatufanyia ufisadi mpaka kwenye nafasi za uongozi unakuta DC bara ni Mzanzibari.

Ila hayo hauoni kwakua mpo kwenye maridhiano.
 
Uwepo wa hayo majengo yasiyo na watu kusionekane kama ndio mwisho wa dunia, hapo kinachotakiwa kufanyika ni serikali kusogeza huduma za jamii eneo husika, mfano wahamishie soko karibu, na magari ya abiria yatakiwe kuingia hapo stand, hapatuchukua muda mrefu patachangamka tu.
Ni sawa kabisa
 
Sasa hasira za nini? Haya tuambie tangu huu mwaka umeanza zimetua ndege ngapi pale chato International Airport?
Ushajizima data tiyari , sasa angekuwepo KLM, Qatar Airways etc na za humu ndani si zingekuwa zinatua chatle kwanza ndo ziendelee na safari? Famasihara na chuma nini?
 
Sasa mnalalamika nini? Nani kawakataza serikali wasiendeleze? Alie anzisha alikuwa na lengo zuri kwa wananchi..

Basi nendeni mbomoe na mabati pelekeni. Project ngapi za jpm zimetekekezwa?

Mnajifanya kujizima data.
Mbona povu bro wewe ni mtoto wake nini
 
Hakika hii nchi watanzania tumepitia mitihani mikubwa.

Tazama miradi hapo chini jinsi inavyoonekana sasa hivi inaoza.

Kwa mtanzania lazima upate uchungu kwa upotevu huu wa mali za umma.View attachment 2552696
Mtu mpumbavu ndio huangaika na Visio za mtu alie kwisha kufa. Hii ni dalili huna kitu kipya na alie ondoka anakutisha kila inaponitwa leo. Mtu alie masikini wakufikiri humponda mtu asie kuwa na uwezo wakumjibu...
 
Kama Zanzibar inavyotunyonya Sasa yaani wanatufanyia ufisadi mpaka kwenye nafasi za uongozi unakuta DC bara ni Mzanzibari.

Ila hayo hauoni kwakua mpo kwenye maridhiano.
Sasa kuwa DC ni mradi wa maendeleo?
 
Back
Top Bottom