Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Je hii ni kweli?
.
Screenshot_20230315-151447.jpg
 
Hawana akili ya kufikiria na hili, hiyo project haiwezi kuwa hasara ikiwa huduma za kijamii na idadi ya watu vinaongezeka, hii ndo namna bora ya kujenga na kuendeleza miji.
Na ile Chato airport vipi?
 
Hakika hii nchi watanzania tumepitia mitihani mikubwa.

Tazama miradi hapo chini jinsi inavyoonekana sasa hivi inaoza.

Kwa mtanzania lazima upate uchungu kwa upotevu huu wa mali za umma.View attachment 2552696
One of the biggest white elephants ever! Leo tusingekuwa tunaongelea kukopa 5 tr/- kulipa hati fungani zilizoiva!
 
Nilitamani uone mobutu's gbadolite , halafu uje utofautishe hapa na hIzi picha za chato
Watu walitabiri haya kabla hata kifo cha jpm
Kuna tofauti kubwa kati ya Mobutu na hayo majengo ya Chato, Mobutu alijenga majengo kwaajili ya makazi yake, lakini sio kwa hayo ya umma hapo Chato.
 
Sio swala la kuendeleza, hapo pamekamilika tatizo watumiaji hakuna.
Was it necessary?
Not just Necessary say "must" sema must x 10 rudia tena ikukae kichwani. Ilikuwa ni lazima kwani magapi yamefanyika mikoa mingine tena makubwa? Nakuuliza ni project ngapi jpm wetu alizifanya sehemu tofati na chato iweje hako kawe gumzo?

Niseme hivi aliye jenga alijuwa jinsi gani watu watapatumia nagekuwa hai hapo kungekuwa ni habari nyingine.?

Muacheni apumzike basi kha!
 
Sasa mnalalamika nini? Nani kawakataza serikali wasiendeleze? Alie anzisha alikuwa na lengo zuri kwa wananchi..

Basi nendeni mbomoe na mabati pelekeni. Project ngapi za jpm zimetekekezwa?

Mnajifanya kujizima data.
Sasa hasira za nini? Haya tuambie tangu huu mwaka umeanza zimetua ndege ngapi pale chato International Airport?
 
Back
Top Bottom