Kazi ya diwani, mbunge ma halmashauri ya Chato. Lakini je Wanajali?Uwepo wa hayo majengo yasiyo na watu kusionekane kama ndio mwisho wa dunia, hapo kinachotakiwa kufanyika ni serikali kusogeza huduma za jamii eneo husika, mfano wahamishie soko karibu, na magari ya abiria yatakiwe kuingia hapo stand, hapatuchukua muda mrefu patachangamka tu.