Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

🐒🐒🐒
22112018.jpg
 
Hakika hii nchi watanzania tumepitia mitihani mikubwa.

Tazama miradi hapo chini jinsi inavyoonekana sasa hivi inaoza.

Kwa mtanzania lazima upate uchungu kwa upotevu huu wa mali za umma.

Uwepo wa hayo majengo yasiyo na watu kusionekane kama ndio mwisho wa dunia, hapo kinachotakiwa kufanyika ni serikali kusogeza huduma za jamii eneo husika, mfano wahamishie soko karibu, na magari ya abiria yatakiwe kuingia hapo stand, hapatuchukua muda mrefu patachangamka tu.
 
Ushauri mzuri sana na sisi kama raia wema kazi yetu ni kukosoa na kushauri pia.
 
Uwepo wa hayo majengo yasiyo na watu kusionekane kama ndio mwisho wa dunia, hapo kinachotakiwa kufanyika ni serikali kusogeza huduma za jamii eneo husika, mfano wahamishie soko karibu, na magari ya abiria yatakiwe kuingia hapo stand, hapatuchukua muda mrefu patachangamka tu.
Hawana akili ya kufikiria na hili, hiyo project haiwezi kuwa hasara ikiwa huduma za kijamii na idadi ya watu vinaongezeka, hii ndo namna bora ya kujenga na kuendeleza miji.
 
Hakika hii nchi watanzania tumepitia mitihani mikubwa.

Tazama miradi hapo chini jinsi inavyoonekana sasa hivi inaoza.

Kwa mtanzania lazima upate uchungu kwa upotevu huu wa mali za umma.View attachment 2552696
Nadhan serikali inawajibu wa kuendeleza uwekezaji kama huu cz haisaidii kuachwa sababu ni kodi za watanzania zinateketea!!
 
Hakika hii nchi watanzania tumepitia mitihani mikubwa.

Tazama miradi hapo chini jinsi inavyoonekana sasa hivi inaoza.

Kwa mtanzania lazima upate uchungu kwa upotevu huu wa mali za umma.View attachment 2552696
Ni aibu sana Kwa serikari ya mkoa na wilaya. Wameshindwa kuendeleza hili eneo??
 
Sasa mnalalamika nini? Nani kawakataza serikali wasiendeleze? Alie anzisha alikuwa na lengo zuri kwa wananchi..

Basi nendeni mbomoe na mabati pelekeni. Project ngapi za jpm zimetekekezwa?

Mnajifanya kujizima data.
 
Wananchi wenyewe walikuwa hawaihitaji yeye alimejengea nani? Waiendeleze itumiwe na nani?
 
Back
Top Bottom