Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

A big loss to public funds, inataka kufanana na Zaire, Miji ya Mobutu, but this were forecasted earlier

mods tuachie uzi huu ili sisi na viongozi tujifunze jambo, pesa za umma ni lazima ziwe zinapelekwa kwenye strategic places pahala panapo induces biashara kufanyika!
🤚
 
Magufuli bhana badala ya kureinforce Mwanza sehemu ambayo chochote ukiendeleza lazima kilipe anaenda kule chato , moja ya akili mbovu Sana hyo
Ange renforce kwenye nn? Kaacha bus stand 2 Mpya kubwa kuliko hio ya chato(Nyamhongolo na Nyegezi), au ulitaka ajenge stand ya 3 wapi?

Kaacha rader pale airport, jengo la abiria lilo telekezwa km stand ya chato, soko kubwa linajengwa kwa kusuasua pale town, daraja kubwa Kuliko yote EAT...what else ulitaka afanye?huu sasa ndo tunaita uroho.
 
Kwani yule mbuzi aliyejenga machinga complex naye alikuwa dictator.

Au kuweka yard ya Mwendo Kasi kwenye mafuriko ya mto msimbazi ilikuwa akili au matope.


Acheni Chuki kama kuku vijana WA Leo mnakera kweli
A big loss to public funds, inataka kufanana na Zaire, Miji ya Mobutu, but this were forecasted earlier!
Tuwekee picha zaidi za dictator huyu!
 
Kitu gani kimefanyika chato ambacho hakijafanyika Mwanza? Angekua anaionea wivu mwanza asingejenga lile daraja la billioni 700..tunapo critisize tusiweke chumvi na uongo mwingi tunaondoa mantiki nzima ya hoja.
Miradi mingi ilistahili ijengwe Mwanza badala ya Chato kutokana na aidha wingi wa uhitaji wa jambo husika, kulingana na idadi wa wakazi wa eneo husika.
 
Back
Top Bottom