Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Wanapanda sana ndege kuliko mabasi.Hii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?