Wakati Ule Kwa Hiyo Pictures Ungetiwa Msukosuko Na Mamlaka Mpaka Ungehama Tanzania
Ingewekwa japo KATORO MJI ULIOCHANGAMKA KIBIASHARAHiyo stand si bora ingewekwa geita mjini ingerudisha hela hiyo, geita stand yao inajaa maji knoma kabla ya kupanda bus inakubidi uogelee kwanza
Tulipokuwa tunasema Mobuto kafufukia kwenye mwili wa mtu na sasa ameanza kujenga Gbadolite nyingine hamkuwahi kutuelewa hadi Kenge mmepigwa na kuanza kutokwa damu masikioniHii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
View attachment 2552469
Uwanja wa ndege au kituo cha vijana kufanyia mazoezi ya kukimbia?enzi za utawala wamarehemu hata hiyo video usingepata ujasiri wa kuipiga.
kama vp tuletee na video ya uwanja wa ndege tuone unavyoonekana.
Ulikuwa utawala wa kutumia vitisho na mabavu kwa watawaliwaWakati Ule Kwa Hiyo Pictures Ungetiwa Msukosuko Na Mamlaka Mpaka Ungehama Tanzania
Hata huko chato hakuna aliyekuwa ana kubaliana na miradi ya JiweHiv pamoja na makosa yaliyofanyika unataka kuniambia hapo wameshindwa kupafanyia kaz kweli. C wapafanye hata soko tu kuliko kukae tu
Hayo ndiyo malipizi ya Mungu kwa Jiwe maana aliwahi kuwaambia wana Kigamboni kuwa kama wanaona kulipa pesa ya kivuko basi wapige mbizi wavukeHiyo stand si bora ingewekwa geita mjini ingerudisha hela hiyo, geita stand yao inajaa maji knoma kabla ya kupanda bus inakubidi uogelee kwanza
Nina firaha sana kuona miradi ya huyo Mungu wao inavyo backfire kwa kukosa mvutoTulipo paza sauti zetu tulionekana wapinga maendereo Sasa yanatokea na mungu wenu mliemuabudu kuriko Mungu wetu wa mbinguni hayupo hasara juu ya hasara
πππππππkwanini za nyumbani kwake zigome? kwamba serikali ndio imezuia watu wasiingie CRdB chato? serikali ndio imekataza ndege zisitue chato?? serikali ndio imezuia watalii wasiende chato?? Serikali ndio Imekataza Magati yasipite kwenye yraffic light chato ila punda wapite?
maendeleo hayalazimishwi, Mkulu alikunya pembeni
Lengo ni kumtukama Magufuli,hakuna kingine.Hawana akili ya kufikiria na hili, hiyo project haiwezi kuwa hasara ikiwa huduma za kijamii na idadi ya watu vinaongezeka, hii ndo namna bora ya kujenga na kuendeleza miji.
Wamejikita kumtukana Magufuli ambaye hayupo.Chato ipo Rwanda au Tanzania hiihiii??.
Nijibuni Nyinyi Wapuuzi!!
Ulitaka Stendi hiyo ipelekwe Dar, Moshi, Arusha, Dodoma, ???.
hivi umewahi fika kwenye wilaya aliyoiongoza kama m'bunge kipindi chake sasa hapo ndio utatukana vizuriLissu alisema kuwa soon chato itakua kama ule mji wa Mobutu Seseko, mkamtukana, yako wapi sasa? Pumbafu
Wao wamtukane ,ila 2025 sio mbali.Wamejikita kumtukana Magufuli ambaye hayupo.
Na 2025 wanategemea wagombee [emoji23]
CCM itaendelea kutawala.
Kamwambie mama yenu mlifukie na bwawa la nyerere pia usisahau kumwambia mbowe mfanye kampen ya kumshawishi rais mlivunje daraja la wami pia linaloenda mpaka kwao moshi pumbavu nyie.Nina firaha sana kuona miradi ya huyo Mungu wao inavyo backfire kwa kukosa mvuto