Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Hakuna cha wakati ule! Labda tuseme wakati ule Halmashauri angeenda stendi pale kutoa habar kuwa hii sio ya kweli! Stendi imechangamka na inatumika mda wote
Wakati Ule Kwa Hiyo Pictures Ungetiwa Msukosuko Na Mamlaka Mpaka Ungehama Tanzania
 
Tulipo paza sauti zetu tulionekana wapinga maendereo Sasa yanatokea na mungu wenu mliemuabudu kuriko Mungu wetu wa mbinguni hayupo hasara juu ya hasara
 
Chato ipo Rwanda au Tanzania hiihiii??.


Nijibuni Nyinyi Wapuuzi!!

Ulitaka Stendi hiyo ipelekwe Dar, Moshi, Arusha, Dodoma, ???.
 
Hii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
View attachment 2552469
Tulipokuwa tunasema Mobuto kafufukia kwenye mwili wa mtu na sasa ameanza kujenga Gbadolite nyingine hamkuwahi kutuelewa hadi Kenge mmepigwa na kuanza kutokwa damu masikioni
 
enzi za utawala wamarehemu hata hiyo video usingepata ujasiri wa kuipiga.

kama vp tuletee na video ya uwanja wa ndege tuone unavyoonekana.
Uwanja wa ndege au kituo cha vijana kufanyia mazoezi ya kukimbia?
 
Hiv pamoja na makosa yaliyofanyika unataka kuniambia hapo wameshindwa kupafanyia kaz kweli. C wapafanye hata soko tu kuliko kukae tu
Hata huko chato hakuna aliyekuwa ana kubaliana na miradi ya Jiwe
 
Hiyo stand si bora ingewekwa geita mjini ingerudisha hela hiyo, geita stand yao inajaa maji knoma kabla ya kupanda bus inakubidi uogelee kwanza
Hayo ndiyo malipizi ya Mungu kwa Jiwe maana aliwahi kuwaambia wana Kigamboni kuwa kama wanaona kulipa pesa ya kivuko basi wapige mbizi wavuke
 
kwanini za nyumbani kwake zigome? kwamba serikali ndio imezuia watu wasiingie CRdB chato? serikali ndio imekataza ndege zisitue chato?? serikali ndio imezuia watalii wasiende chato?? Serikali ndio Imekataza Magati yasipite kwenye yraffic light chato ila punda wapite?

maendeleo hayalazimishwi, Mkulu alikunya pembeni
😏😏😏😏😏😏😏
 
Hawana akili ya kufikiria na hili, hiyo project haiwezi kuwa hasara ikiwa huduma za kijamii na idadi ya watu vinaongezeka, hii ndo namna bora ya kujenga na kuendeleza miji.
Lengo ni kumtukama Magufuli,hakuna kingine.
 
Chato ipo Rwanda au Tanzania hiihiii??.


Nijibuni Nyinyi Wapuuzi!!

Ulitaka Stendi hiyo ipelekwe Dar, Moshi, Arusha, Dodoma, ???.
Wamejikita kumtukana Magufuli ambaye hayupo.
Na 2025 wanategemea wagombee [emoji23]

CCM itaendelea kutawala.
 
Lissu alisema kuwa soon chato itakua kama ule mji wa Mobutu Seseko, mkamtukana, yako wapi sasa? Pumbafu
hivi umewahi fika kwenye wilaya aliyoiongoza kama m'bunge kipindi chake sasa hapo ndio utatukana vizuri
 
Muda mwingine muwe manapunguza chuki,uzuzu na uchawa,ebu niambie sababu kubwa ya stend ya nyegezi kuvunjwa na kujengwa upya tena ndani ya muda mfupi baada ya kuhamishwa kutoka tanganyika kule kwa zamani? Sababu kubwa ni watu wapumbavu kama wewe mleta mada kwa kudhania kuweka project ndogo ambayo haweizi kuwa na life span ya more than 30 years to come mkijua population ya 60m + ndo itakuwa hiyo hiyo ata kwa miaka 30 ijayo.
 
Back
Top Bottom