Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Hujui hapa ni home of the Great thinkers, wanyonge wako huko Facebook na huko kwingine . Ni sawa na kusikiliza maoni ya wanyonge
Hapa hakuna Great Thinker, mtu analalamika Magufuli kutoweka Lockdown. Huyu ni Great Thinker?Humu wamejaa wahanga wa utawala wa Magufuli. Nimeona clip moja Magufuli akiamrisha askari aliyeua mtu asimamishwe kazi.Unafikir huyo ofisa akiingia humu JF au Twitter atapost nini kuhusu Magufuli?
 
Utasikia ni mradi wa Kimkakati wa baadae 🤪🤪

Bado ki Sgr Cha huko Mwanza kitakuwa gofu lingine
 
Nani kalalamika juu ya hilo la lockdown?
Tukubali tu ukweli kuwa Jiwe alikuwa tatizo kwa Taifa hata kama ukweli huo unatuumiza
 
Kwani yule mbuzi aliyejenga machinga complex naye alikuwa dictator.

Au kuweka yard ya Mwendo Kasi kwenye mafuriko ya mto msimbazi ilikuwa akili au matope.


Acheni Chuki kama kuku vijana WA Leo mnakera kweli
Hiyo stendi ya mwendo kasi kipindi inajengwa yeye alikuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi.
 
Nani kalalamika juu ya hilo la lockdown?
Tukubali tu ukweli kuwa Jiwe alikuwa tatizo kwa Taifa hata kama ukweli huo unatuumiza
Alitutawala utadhani tupo kwa dikiteta m7
 
Hiyo stendi ya mwendo kasi kipindi inajengwa yeye alikuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi.
Miradi yote ya Jiwe ilikuwa ni ya kulazimisha ndiyo maana sasa hivi inafeli
 
Kuwadanganye sukuma gang wenzako
 
Sina shaka aliyebuni huu mradi alitumia "MATAKO" kufikiri..
 
Jingababe alitulostisha sana ila mama atatuinua ghafla... mama anajali haki,elimu,kilimo,teknolojia na kuunganisha watu. Izo ni indicators za kiongozi bora
 
Hii ndo inatakiwa hivyo sio unajenga stend baada ya miaka mitatu unatafuta tena sehemu ya kuihamishia na huko lazima ufanye kufidia watu .miradi mingi ya serikali laizima iangalia miaka 20/30 inayokuja hivyo ndo wakoloni wanavyofanya kwenye nchi yao
 
Hawana akili ya kufikiria na hili, hiyo project haiwezi kuwa hasara ikiwa huduma za kijamii na idadi ya watu vinaongezeka, hii ndo namna bora ya kujenga na kuendeleza miji.
Wanataka wajenge baada ya 5 wwnatsfute sehemu ya kwenda kuihamishia na mafidia ya kijinga .project ya serikali lazima iangalie miaka 30 mbele hii ndo namna bora ya kupanga miji yetu
 
Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?

View attachment 2552469
Mda si mrefu yatakuwa Magofu kama ya Mobutu,..nyani,ngedere,majini,mizimu vitashinda humo.
 
Mda si mrefu yatakuwa Magofu kama ya Mobutu,..nyani,ngedere,majini,mizimu vitashinda humo.
Na yabakie hivyo hivyo ili wale wanaomsifia kuwa alifanya mambo makubwa kwa Tanzania ma kwamba ni Rais bora waje waumbuliwe. Chato ni Gbadolite ya Tanzania
 
Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?

View attachment 2552469
Kipi kikusikitishacho? Hii ni nchi ina watu, sehemu ya Tanzania. Juzi juzi tu watu 27 walikufa Bukoba Airport shauri uwanja finyu, lakini Mkoa wa Kagera na mikoa ya jirani Geita Kigoma na Shinyanga wana watu karibia milioni 10 hawana airport imara. Ambapo kwa CHADEMA kina Mbowe hawafiki watu milioni 2 wana airport 3 za kimataifa Moshi, KIA na Arusha umbali wa kilometa 48. Hawa Watanzania wa Chato Kagera Kigoma na Shinyanga ni wenzetu, kupewa stendi ya bus kuwatosha watu milioni 10 iwe nongwa? Ipi ni aghali zaidi, airport au stendi ya mabasi?
 

kiongozi [emoji1666][emoji1666][emoji1666]mtoe tope kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…