Mipango yenu imevurugwa lazima mtapetapeMi siwashwi na chochote ila nasikitishwa kuona kwamba vijana wa Tanzania wana uwezo mdogo sana wa kupambanua mambo bila kujali viwango vyao vya elimu. Yaani hakuna tofauti ya msomi na asiesoma kama mimi
Matusi yako ni baada ya CDM kushtukia mchezo wenu mchafuFoolish
Mtajua wenyewe, chadema wameshafanya sehemu yaoHongera kwa nia zenu na mapenzi yenu.
Sasa nasi wana CCM tukitafuta watu million 2, waka sign , kuomba mheshimiwa Raisi abadilishe katiba na aendelee kugombania uraisi zaidi ya mihula miwili, jee mtatuona tunakosea.
Kaa kimya tu Mkuusi muumini wa vyama..ila nadhan kuzidi mshikilia mbowe kama mwenyekiti ni kupoteza karata ya kulaumu Magufuri kuibaka demokrasia..najaribu fikiri tu nje ya box
Mi acha nikubaliane nawe kuwa mipango yetu imevurugwa. Uwezo wako ni mdogo sana kunielewaMipango yenu imevurugwa lazima mtapetape
Blah BlahMi acha nikubaliane nawe kuwa mipango yetu imevurugwa. Uwezo wako ni mdogo sana kunielewa
Lumumba wakisikia wanajiharishia! Wanamwogopa ana Mbowe!
Msajili wa vyama leo ataugua akisikia tu Mbowe anagombea.Lumumba wakisikia wanajiharishia! Wanamwogopa ana Mbowe!
Wauweni wote kama mtaweza maji ya kishazidi unga itabidi unywe uji tu!Wachaga bwana ndio maana hatuwezi kuwapa nchi
Huu mchakato inabidi tuuanze mapema ili Mh. Rais awe na uhakika wa kuendelea baada ya 2025. Ni nani wa kumfunga paka kengele kama mipanya yenyewe haijui taratibu za kumfikia paka? Mh. Rais wangu kipenzi Magufuli, piga kazi, sisi tutafanya kampeni ya kutafuta signature 2m uendelee. Tutapigana sana hii katiba iondoe ukomo wa urais na nina imani tutashinda.Hongera kwa nia zenu na mapenzi yenu.
Sasa nasi wana CCM tukitafuta watu million 2, waka sign , kuomba mheshimiwa Raisi abadilishe katiba na aendelee kugombania uraisi zaidi ya mihula miwili, jee mtatuona tunakosea.
Mkitumia mitutu mtaweza nje na hapo hata watu mia hamtapata walahi kama wabunge na wakuu wa mikoa hawatahusikaHongera kwa nia zenu na mapenzi yenu.
Sasa nasi wana CCM tukitafuta watu million 2, waka sign , kuomba mheshimiwa Raisi abadilishe katiba na aendelee kugombania uraisi zaidi ya mihula miwili, jee mtatuona tunakosea.
Ona sasa.Hongera kwa nia zenu na mapenzi yenu.
Sasa nasi wana CCM tukitafuta watu million 2, waka sign , kuomba mheshimiwa Raisi abadilishe katiba na aendelee kugombania uraisi zaidi ya mihula miwili, jee mtatuona tunakosea.
Hayo hayatuhusu.Sisi tuko na Mbowe tuHuu mchakato inabidi tuuanze mapema ili Mh. Rais awe na uhakika wa kuendelea baada ya 2025. Ni nani wa kumfunga paka kengele kama mipanya yenyewe haijui taratibu za kumfikia paka? Mh. Rais wangu kipenzi Magufuli, piga kazi, sisi tutafanya kampeni ya kutafuta signature 2m uendelee. Tutapigana sana hii katiba iondoe ukomo wa urais na nina imani tutashinda.
Na sisi tupo na Magufuli wetu.Hayo hayatuhusu.Sisi tuko na Mbowe tu
Kama vijana wamejitokeza kumuchukulia fomu ya kuendelea kutetea nafasi yake ya uenyekiti wa chama Mr mbowe. Basi tusilaumu hata kidogo kundi la Watanzani wanyonge wakiingia barabarani 2025 kumushinikiza Rais Magufuli Aendelee kutetea kiti chake Cha urais...