Hali imebadilika ghafla Mashariki ya Kati. Iran yaanza na Marekani wakati Jordan na Mahmoud Abbas waanza kuiandama Israel

Russia naye si anamsaidia Iran?
Wasichokijua wavaa makobazi ni kuwa huyo mrusi ndiye anaye wauza huku anawaambia anawasaidia. Wacha wavaa kobazi wachapike wakome kutumika.
Mrusi zamani alikuwa anawauza Waislam lakini ni kwa sasa kafahamu America, Western na Israel ni ma freemasonry, wamemfata kumdhuru wakati walijidai marafiki zake.
 
Mpaka sasa Dunia inasubilia kile iran ilichojigamba nacho"kisasi kwa Israel ambacho hakijawahi kushuhudiwa"lkn wiki ya pili hii inaenda Kila siku ni taarabu tu. Ninavyoona iran kashaufyata
 
Mkuu nakukubali sana kwa research, na pia kuheshimu mno kila unachofikiria. Lakini kwa upande wangu naona kuna mawili (1) kushambulia kabla ya hiyo siku unayosema. (2) au baada ya hiyo siku unayosema. I mean ni unknown day mkuu.

Kumbuka safari hii Iran imepanga kutoa onyo la kweli, hivyo shambulizi lake litakuwa tofauti na lile la kipindi kile kwa sababu halitajulishwa au kuhisiwa kama lilivyojulishwa na kuhisiwa lile la kipindi kile mpaka kupelekea maadui kujipanga na kufanikiwa kudhibiti baadhi ya makombora.

Safari hii itakuwa ya kushtukiza katika kipindi ambacho si Marekani, Israel au mimi na wewe tutakuwa tunajua. Watu watashtukia ghafla kambi za jeshi, bunge la Israel na hata ofisi na makazi ya Netanyahu vinawaka moto, kitu ambacho kipindi kile hawakuwa wamepanga kukifanya. Lakini pia safari ile hawakuwa na lengo la kuuwa bali kutoa onyo kwa adui kuwa siku wakijichanganya kama hivi wanaweza kufikiwa, ila safari hii sio onyo bali ni adhabu ambayo itaondoka na roho hata za wanajeshi, viongozi au raia wa Israel. Hivyo hawawezi kupanga kufanya shambulizi la aina hiyo katika siku ambayo hata wewe hapo ulipo umeshaihisi, bali wanasubiri siku ambayo hakuna atakaihisi ili kuweza kufikia lengo walilolipanga la kuiadhibu Israel kisawa sawa.

Kuna mkutano umeitishwa wa kuziomba nchi rafiki zisiingilie ugomvi huo. Kwamba kama hawana support yoyote kwake basi waache tu yeye atoe adhabu peke yake bila kombora lake hata 1 kuzuiliwa na mshirika wake yoyote katika eneo lao.
 

Attachments

  • Screenshot_20240806-125809.jpg
    299 KB · Views: 1
Na ushajiuliza kama Israel ikiamua kuishambulia Iran, wao wanazo hizo bunkers? Si ndio watauwawa kama kuku halafu waanze kulialia? Kwa taarifa binafsi naomba sana inyeshe tuone panapovuja. Ni Israel au Iran?
Kumbuka pia Iran ni nchi kubwa kuliko Israel kijiografia,, ni rahisi kuisambararisha Israel ikiingia kwenye 18 kuliko Iran akiingia kwenye 18 zake....hao waishi kwenye bunkers ila wakitoka wanakuta magofu
 
Huko pia kuna Mrusi kaka
 
Maneno yako nayakubali 💯 point zako zimekwenda chuo kikuu kabisa, big up.
 
Kuna mtu kwenye uzi fulani nilimwambia maneno mfano wa haya alosema huyu mwamba hapa
Yaani kwampaka sasa kama vita itatokea kweli basi israhell kashashindwa kabla hajaingia ulingoni
Maana tayari wanakhofu tayari wanaanza kutumia akiba zao ambazo ziliekwa
Kama vita itapelekea Palestine kua huru na mazayuni kufa na kusagwa sagwa sana acha ije
 
Kwahiyo Iran pamoja na kusikia kuwa inasaidiwa na Urusi na Uturuki bado inamwogopa Israel kwasababu ya Marekani? Hapo nimekuelewa. Mueleweshe na Webabu basi!
Kuna msaada wa kumpa mtu na msaada wa kuingilia kabisa. Kumbuka Israel inasaidiwa na nchi nyingi kuliko Iran. Maana inapokea misaada ya kijeshi kutoka Marekani, Ufaransa, Uingereza, Ujerumani juzi tumemsikia waziri wa mambo na nje akisema kuwa swala la kuisaidia Israel halingoji mjadala yani wao ni kutoa tu, Uholanzi mpaka mahakama imekubali nchi hiyo kuendelea kupeleka silaha Israel baada ya watu wa human rights wa nchi hiyo kufungua kesi kutaka serikali isitishe kupeleka silaha Israel. I mean hata kama unajuzima data lakin moyo wako hapo ulipo unakusuta kwamba Israel inapokea msaada kutoka katika nchi nyingi zaidi ya Iran.

Ila sasa nimeitaja tu Marekani na kuacha kuzitaja hizo zingine kina UK, Ujeruman, Ufarasansa nk kwa sababu wao wanatoa tu silaha lakn hawapeleki jeshi kuingilia vita kama anavyoingilia Marekani. Hivyo Urusi na Uturuki ni kama hao kina ufaransa yani wanatoa tu msaada wa kukupa mkononi lakin hawaingii mzigoni.

Hivyo ukitumia akili yako ya kuzaliwa ukiachana na hii uliyopandikizwa na kina Netanyahu utaelewa tu vizuri.
 
Geo politics si sawa na ndondi bro, mataifa hayafanyi kazi kwa style hiyo
 
Kweli mkuu hapa umeandika point tupu.
 
Mrusi zamani alikuwa anawauza Waislam lakini ni kwa sasa kafahamu America, Western na Israel ni ma freemasonry, wamemfata kumdhuru wakati walijidai marafiki zake.
Endelea kujidanganya, yani mrusi anawauza mchana kweupe.
 
Isisahau msemo, "..
If you cannot fight them, join them..."! Hizo nchi wanalijua hilo kwa Israel ndio maana wamejiunga naye na n hi zao hazina tatizo. Hao Iran watakipata tu. Wawaulize kwanini Misri na Saudia Arabia wanamnyaa Israel?
 
Kwa sasa Marekani haina raisi bali ina kinyago cha mpingo kilichochongwa na wayahudi feki kwa lengo la kutaka kinyago hicho kiwe kinatimiza yale wanayoyataka bila kuhoji, kuuliza wala kusita. Na mtu ambae amepewa kazi ya kuki control kinyago hicho ni waziri wa mambo ya nje wa Marekani ambao wote wanafanya kazi pamoja kwa niaba ya Netanyahu na genge lake.

Ni aibu kwa raisi wa nchi kubwa kushikiwa akili na kiongozi wa nchi ndogo kama Israel, na hili kuna raia wengi tu hawalipendi sema ndo hivyo hawana jinsi wala njia ya kuliepuka.
 
Ndoto za alinacha
 
Endelea kujidanganya, yani mrusi anawauza mchana kweupe.
Sawa nyie kalaleni chini ya mti labda yule Shetani aliye muona Paulo hatibiki si mchezo huwezi mfananisha Mtu anaye amini Mungu ni mmoja tu aliye umba kila kitu na yule Mungu wenu alie zaliwa kwenye zizi la ngo'mbe kumbe bora hata mimi nilizaliwa Hospital 😄

Mrusi kaokolewa na Iran aje amuze Iran sidhani hio ndoto ya mti alio lala Paulo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…