Hali imebadilika ghafla Mashariki ya Kati. Iran yaanza na Marekani wakati Jordan na Mahmoud Abbas waanza kuiandama Israel

Hali imebadilika ghafla Mashariki ya Kati. Iran yaanza na Marekani wakati Jordan na Mahmoud Abbas waanza kuiandama Israel

Russia naye si anamsaidia Iran?
Wasichokijua wavaa makobazi ni kuwa huyo mrusi ndiye anaye wauza huku anawaambia anawasaidia. Wacha wavaa kobazi wachapike wakome kutumika.
Mrusi zamani alikuwa anawauza Waislam lakini ni kwa sasa kafahamu America, Western na Israel ni ma freemasonry, wamemfata kumdhuru wakati walijidai marafiki zake.
 
Iran imeanza kuiadhibu Marekani kwanza kabla ya kuingia Israel baada ya kifo cha Ismael Haniye.

Makombora kadhaa yamerushwa kwenye kambi ya Marekani iliyoko Iraq na kusababisha maafa makubwa kwenye kambi hiyo.

Sambamba na hilo kiongozi wa mamlaka ya Palestina ambaye daima huonekana kuwa karibu na Israel dhidi ya Hamas,leo ametoa lawama kali dhidi ya Israel kutokana na kifo cha Ismael Haniye akisema mauwaji hayo yamekusudiwa kurefusha muda wa mapigano kati ya wapalestina na Israel.

Kwa upande wa Jordan mfalme wa nchi hiyo ametoa matamko makali kutokana na mauwaji yanayoendelea upande wa pili wa mipaka yake katika maeneo ya ukingo wa mashariki kuzunguka Jerusalem.

US personnel injured in rocket attack on Iraq base

Mpaka sasa Dunia inasubilia kile iran ilichojigamba nacho"kisasi kwa Israel ambacho hakijawahi kushuhudiwa"lkn wiki ya pili hii inaenda Kila siku ni taarabu tu. Ninavyoona iran kashaufyata
 
Safi sana umempa point za uhakika na kuzidisha pia Iran kisha fanikisha kitu hapo Ain Al Asad base imesambaritishwa vizuri kabisa, mimi na infom nimesikia tarehe 14/8 ndio Iran atampiga Israel hio ni siku huwa ya huzuni kwa Israel. Iran anaweza kuwahi kumpiga Israel akiona Israel anataka kwenda mshambulia, na Israel hasara wanayo ipata huko ndio cabinet yao wame discussed kwamba kuliko kula hizo hasara bora tumuwahi Iran, lakini Iran kupenya anga lake sio rahisi sababu kisha zuia hakuna ndege kupita anga hata hizo ndege za civilians. Hapo F35 haina ujanja huwa wanapenya kwa kutumia system flan kuonyesha hio ni civilian air craft. Israel yuko hoi hapo hajui atafanya nini. Akipeleka ndege zinaangushwa tu hazirudi.
Mkuu nakukubali sana kwa research, na pia kuheshimu mno kila unachofikiria. Lakini kwa upande wangu naona kuna mawili (1) kushambulia kabla ya hiyo siku unayosema. (2) au baada ya hiyo siku unayosema. I mean ni unknown day mkuu.

Kumbuka safari hii Iran imepanga kutoa onyo la kweli, hivyo shambulizi lake litakuwa tofauti na lile la kipindi kile kwa sababu halitajulishwa au kuhisiwa kama lilivyojulishwa na kuhisiwa lile la kipindi kile mpaka kupelekea maadui kujipanga na kufanikiwa kudhibiti baadhi ya makombora.

Safari hii itakuwa ya kushtukiza katika kipindi ambacho si Marekani, Israel au mimi na wewe tutakuwa tunajua. Watu watashtukia ghafla kambi za jeshi, bunge la Israel na hata ofisi na makazi ya Netanyahu vinawaka moto, kitu ambacho kipindi kile hawakuwa wamepanga kukifanya. Lakini pia safari ile hawakuwa na lengo la kuuwa bali kutoa onyo kwa adui kuwa siku wakijichanganya kama hivi wanaweza kufikiwa, ila safari hii sio onyo bali ni adhabu ambayo itaondoka na roho hata za wanajeshi, viongozi au raia wa Israel. Hivyo hawawezi kupanga kufanya shambulizi la aina hiyo katika siku ambayo hata wewe hapo ulipo umeshaihisi, bali wanasubiri siku ambayo hakuna atakaihisi ili kuweza kufikia lengo walilolipanga la kuiadhibu Israel kisawa sawa.

Kuna mkutano umeitishwa wa kuziomba nchi rafiki zisiingilie ugomvi huo. Kwamba kama hawana support yoyote kwake basi waache tu yeye atoe adhabu peke yake bila kombora lake hata 1 kuzuiliwa na mshirika wake yoyote katika eneo lao.
 
Attachments

  • Screenshot_20240806-125809.jpg
    Screenshot_20240806-125809.jpg
    299 KB · Views: 1
Na ushajiuliza kama Israel ikiamua kuishambulia Iran, wao wanazo hizo bunkers? Si ndio watauwawa kama kuku halafu waanze kulialia? Kwa taarifa binafsi naomba sana inyeshe tuone panapovuja. Ni Israel au Iran?
Kumbuka pia Iran ni nchi kubwa kuliko Israel kijiografia,, ni rahisi kuisambararisha Israel ikiingia kwenye 18 kuliko Iran akiingia kwenye 18 zake....hao waishi kwenye bunkers ila wakitoka wanakuta magofu
Screenshot_20240806-142009_Chrome.jpg
 
Marekani ndo kaja kuharibu pambano. Ili mchezo unoge inatakiwa Marekani atoe kwanza vifaa vyake na wanajeshi wake ili zibaki nchi mbili tu zinazotaka kupambana.

Haiwezekani ugomvi wa watu wawili alafu mtu wa tatu aje kudai anataka kumsaidia mmoja, huku kunatafsiriwa ni kumuogopa mwenye nguvu na kuamua kumchangia.
Huko pia kuna Mrusi kaka
 
Mkuu nakukubali sana kwa research, na pia kuheshimu mno kila unachofikiria. Lakini kwa upande wangu naona kuna mawili (1) kushambulia kabla ya hiyo siku unayosema. (2) au baada ya hiyo siku unayosema. I mean ni unknown day mkuu.

Kumbuka safari hii Iran imepanga kutoa onyo la kweli, hivyo shambulizi lake litakuwa tofauti na lile la kipindi kile kwa sababu halitajulishwa au kuhisiwa kama lilivyojulishwa na kuhisiwa lile la kipindi kile mpaka kupelekea maadui kujipanga na kufanikiwa kudhibiti baadhi ya makombora.

Safari hii itakuwa ya kushtukiza katika kipindi ambacho si Marekani, Israel au mimi na wewe tutakuwa tunajua. Watu watashtukia ghafla kambi za jeshi, bunge la Israel na hata ofisi na makazi ya Netanyahu vinawaka moto, kitu ambacho kipindi kile hawakuwa wamepanga kukifanya. Lakini pia safari ile hawakuwa na lengo la kuuwa bali kutoa onyo kwa adui kuwa siku wakijichanganya kama hivi wanaweza kufikiwa, ila safari hii sio onyo bali ni adhabu ambayo itaondoka na roho hata za wanajeshi, viongozi au raia wa Israel. Hivyo hawawezi kupanga kufanya shambulizi la aina hiyo katika siku ambayo hata wewe hapo ulipo umeshaihisi, bali wanasubiri siku ambayo hakuna atakaihisi ili kuweza kufikia lengo walilolipanga la kuiadhibu Israel kisawa sawa.

Kuna mkutano umeitishwa wa kuziomba nchi rafiki zisiingilie ugomvi huo. Kwamba kama hawana support yoyote kwake basi waache tu yeye atoe adhabu peke yake bila kombora lake hata 1 kuzuiliwa na mshirika wake yoyote katika eneo lao.
Maneno yako nayakubali 💯 point zako zimekwenda chuo kikuu kabisa, big up.
 
Ukitaka kujua Iran kwanini kachelewa soma hi na kala ya mwana habari huyu

Shambulio linaanza lini? Katika makala nzuri ya Hussein Al-Dirani, anasema:

"Wakati usiku huu ni usiku wa nne ambapo walowezi wa Kizayuni watekaji nyara wanalazimika kujificha kwenye makazi yenye injini za umeme na masanduku ya maji na chakula baada ya kuvamia maduka ya vyakula... wanajiandaa kwa woga na kutetemeka!

Wakati soko la hisa la Marekani na soko la hisa likiwa katika hali duni isiyo na kifani na wataalam wa uchumi wa dunia kutangaza hasara ya dola trilioni 2.9 baada ya tishio la Iran!

Wakati Amerika inalazimika kutumia mamilioni ya dola kusafirisha meli za kivita, ndege kubwa na wapiganaji hadi eneo hilo!

Viwanja vya ndege vya Kizayuni vinapofungwa na safari za ndege kusitishwa moja baada ya nyingine!

Wakati hakuna Mzayuni hata mmoja ambaye yuko tayari kuhamia maeneo yaliyokaliwa ili kukaa!

Wakati, kama wanasema, walowezi zaidi ya 500,000 walipokanyaga katika ardhi hii iliyokaliwa kwa ahadi ya usalama, waliondoka na bado wanaondoka!

Wakati Mossad wanahamisha jengo la kati lenyewe kwa hofu!

Wakati viwanda na bandari zao kupokea amri ya kuacha shughuli zao na kuondoka mzunguko wa shughuli na uzalishaji!

Wakati nchi kadhaa zinaingilia kati kwa njia ya kufedhehesha kusimamisha hatua zinazofuata za kulipiza kisasi za Irani, haiwezekani, Mungu akipenda.

🔴 Shambulio limeanza kabla halijaanza, na kinachoendelea ni sehemu ya vita.. Hebu jifikirie (uko wapi?)!!"
Kuna mtu kwenye uzi fulani nilimwambia maneno mfano wa haya alosema huyu mwamba hapa
Yaani kwampaka sasa kama vita itatokea kweli basi israhell kashashindwa kabla hajaingia ulingoni
Maana tayari wanakhofu tayari wanaanza kutumia akiba zao ambazo ziliekwa
Kama vita itapelekea Palestine kua huru na mazayuni kufa na kusagwa sagwa sana acha ije
 
Kwahiyo Iran pamoja na kusikia kuwa inasaidiwa na Urusi na Uturuki bado inamwogopa Israel kwasababu ya Marekani? Hapo nimekuelewa. Mueleweshe na Webabu basi!
Kuna msaada wa kumpa mtu na msaada wa kuingilia kabisa. Kumbuka Israel inasaidiwa na nchi nyingi kuliko Iran. Maana inapokea misaada ya kijeshi kutoka Marekani, Ufaransa, Uingereza, Ujerumani juzi tumemsikia waziri wa mambo na nje akisema kuwa swala la kuisaidia Israel halingoji mjadala yani wao ni kutoa tu, Uholanzi mpaka mahakama imekubali nchi hiyo kuendelea kupeleka silaha Israel baada ya watu wa human rights wa nchi hiyo kufungua kesi kutaka serikali isitishe kupeleka silaha Israel. I mean hata kama unajuzima data lakin moyo wako hapo ulipo unakusuta kwamba Israel inapokea msaada kutoka katika nchi nyingi zaidi ya Iran.

Ila sasa nimeitaja tu Marekani na kuacha kuzitaja hizo zingine kina UK, Ujeruman, Ufarasansa nk kwa sababu wao wanatoa tu silaha lakn hawapeleki jeshi kuingilia vita kama anavyoingilia Marekani. Hivyo Urusi na Uturuki ni kama hao kina ufaransa yani wanatoa tu msaada wa kukupa mkononi lakin hawaingii mzigoni.

Hivyo ukitumia akili yako ya kuzaliwa ukiachana na hii uliyopandikizwa na kina Netanyahu utaelewa tu vizuri.
 
Marekani ndo kaja kuharibu pambano. Ili mchezo unoge inatakiwa Marekani atoe kwanza vifaa vyake na wanajeshi wake ili zibaki nchi mbili tu zinazotaka kupambana.

Haiwezekani ugomvi wa watu wawili alafu mtu wa tatu aje kudai anataka kumsaidia mmoja, huku kunatafsiriwa ni kumuogopa mwenye nguvu na kuamua kumchangia.
Geo politics si sawa na ndondi bro, mataifa hayafanyi kazi kwa style hiyo
 
Kuna mtu kwenye uzi fulani nilimwambia maneno mfano wa haya alosema huyu mwamba hapa
Yaani kwampaka sasa kama vita itatokea kweli basi israhell kashashindwa kabla hajaingia ulingoni
Maana tayari wanakhofu tayari wanaanza kutumia akiba zao ambazo ziliekwa
Kama vita itapelekea Palestine kua huru na mazayuni kufa na kusagwa sagwa sana acha ije
Kweli mkuu hapa umeandika point tupu.
 
Mrusi zamani alikuwa anawauza Waislam lakini ni kwa sasa kafahamu America, Western na Israel ni ma freemasonry, wamemfata kumdhuru wakati walijidai marafiki zake.
Endelea kujidanganya, yani mrusi anawauza mchana kweupe.
 
Kuna msaada wa kumpa mtu na msaada wa kuingilia kabisa. Kumbuka Israel inasaidiwa na nchi nyingi kuliko Iran. Maana inapokea misaada ya kijeshi kutoka Marekani, Ufaransa, Uingereza, Ujerumani juzi tumemsikia waziri wa mambo na nje akisema kuwa swala la kuisaidia Israel halingoji mjadala yani wao ni kutoa tu, Uholanzi mpaka mahakama imekubali nchi hiyo kuendelea kupeleka silaha Israel baada ya watu wa human rights wa nchi hiyo kufungua kesi kutaka serikali isitishe kupeleka silaha Israel. I mean hata kama unajuzima data lakin moyo wako hapo ulipo unakusuta kwamba Israel inapokea msaada kutoka katika nchi nyingi zaidi ya Iran.

Ila sasa nimeitaja tu Marekani na kuacha kuzitaja hizo zingine kina UK, Ujeruman, Ufarasansa nk kwa sababu wao wanatoa tu silaha lakn hawapeleki jeshi kuingilia vita kama anavyoingilia Marekani. Hivyo Urusi na Uturuki ni kama hao kina ufaransa yani wanatoa tu msaada wa kukupa mkononi lakin hawaingii mzigoni.

Hivyo ukitumia akili yako ya kuzaliwa ukiachana na hii uliyopandikizwa na kina Netanyahu utaelewa tu vizuri.
Isisahau msemo, "..
If you cannot fight them, join them..."! Hizo nchi wanalijua hilo kwa Israel ndio maana wamejiunga naye na n hi zao hazina tatizo. Hao Iran watakipata tu. Wawaulize kwanini Misri na Saudia Arabia wanamnyaa Israel?
 
Iran kachagua muda mzuri kuingia mapambanoni na Israel au tuseme Israel kwa kiburi chake amejichanganya na kuamaua kufanya unyama zaidi muda ambao sio muwafaka kwake na kwa bwana zake.
Marekani kila uchaguzi ukikaribia ndio inataka kuwa na utulivu zaidi nchini mwake ambako tayari hali kadhaa ni tete.Hilo likitokea muda huu hata uchaguzi hautafanyika.Na kumbuka Marekani kwa muda huu mpaka uchaguzi umalizike unaongozwa na raisi ambaye hana kumbukumbu vizuri na maamuzi yake katika muda wa vita itabidi asaidiwe.Itakuwa ni vurugu na aibu tupu kwa taifa linalojitangaza kinara wa demokrasia na maendeleo duniani.
Kwa sasa Marekani haina raisi bali ina kinyago cha mpingo kilichochongwa na wayahudi feki kwa lengo la kutaka kinyago hicho kiwe kinatimiza yale wanayoyataka bila kuhoji, kuuliza wala kusita. Na mtu ambae amepewa kazi ya kuki control kinyago hicho ni waziri wa mambo ya nje wa Marekani ambao wote wanafanya kazi pamoja kwa niaba ya Netanyahu na genge lake.

Ni aibu kwa raisi wa nchi kubwa kushikiwa akili na kiongozi wa nchi ndogo kama Israel, na hili kuna raia wengi tu hawalipendi sema ndo hivyo hawana jinsi wala njia ya kuliepuka.
 
Ebu fikiria. Wewe unataka kupigana na adui yako ambae anadai anauwezo wa kukupiga.

Sasa mkiwa mnajiandaa kuingia mapambanoni, ghafla adui yako anamwita baba yake ( Marekani) aje amsaidie kupamba na wewe. Hapo sasa wewe utaendelea na pambano au utaamua tu kuangalia namna utakavyomkamata huyo adui yako mtaani akiwa mwenyewe umdunde..

Ndivyo anavyofanya Iran, alikuwa ameshajiandaa kumpa kipigo Israel ghalfa Israel kamwita baba yake (Marekani) aje amsaidie ugomvi wake. Hivyo Iran ameamua amuache kwanza akitafuta njia ya kumtwanga pale baba yake na Israel (Marekani) atapokuwa yupo busy na mambo mengine ya uchaguzi.

Marekani kazingua sana kuingilia huu ugomvi kwa kutuma wanajeshi, silaha na usaidizi mbali mbali. Ilitakiwa awaache wenyewe watwangane bila kumpa mtu yoyote support hadi pale alieshindwa atapohitaji sasa msaada ndo asaidiwe au wewe unaonaje?
Ndoto za alinacha
 
Endelea kujidanganya, yani mrusi anawauza mchana kweupe.
Sawa nyie kalaleni chini ya mti labda yule Shetani aliye muona Paulo hatibiki si mchezo huwezi mfananisha Mtu anaye amini Mungu ni mmoja tu aliye umba kila kitu na yule Mungu wenu alie zaliwa kwenye zizi la ngo'mbe kumbe bora hata mimi nilizaliwa Hospital 😄

Mrusi kaokolewa na Iran aje amuze Iran sidhani hio ndoto ya mti alio lala Paulo.
 
Back
Top Bottom