Hahaha...Mingoi tena!....nilianza kucheka kusoma ujumbe,kurudi juu aliyeandika ni wewe tena....wewe jamaa una vituko kweli!Ameshaona dalili za jela zinanukia na waimba nyimbo za ukombozi wamebadilisha santuri sasa wanaimba mapambio na kuwaombea wakapumzike kwa amani.
hahaaaaa nipo mkuu si unajua mimi nikishusha napigaa nondo za uhakika with supportive evidence sio kama huyu msaga sumu ben
wewe dada vipi tena unatafutwa huko mitaa ya ohio.
WHAT A SHAME, lol.
Ningeomba serikali ifanye marudio kwa kifo cha CHACHA WANGWE, waliokufa wote kwenye rally za CHADEMA. Who knows, inawezekana kuna snipers wako staged. Though CCM na polisi wake ni wabaya sana hilo halina ubishi, lakini hizi killings zinavyotokea zina uwalakini sana. Mfano Morogoro Machinga anauza vitu vyake anabutuliwa risasi.
hiv ben hajakamatwa tu hawa polisi wanareta masihara kwenye mambo ya msingi
Is this the answer?. Kweli akili mkichwa.Niitwe Mahakamani nikahojiwe kuhusu hili.Unless kama kuna mtu mwenye reference ailete hapa kama mimi nilivyoweka reference.Hata hivyo ijulikane kumjua/kumfahamu/kukutana na mtanzania yeyote awe mwanachama au si mwanachama wa CHADEMA si dhambi.
Mbona badala ya kuunganisha chama na kuchukulia mawazo ya wengine positively na kuyafanyia kazi mnaishia kuzodoa,mnataka mtu wa yes mzee asiye na fikra mbadala tutafika kweli kwa stahili hii?kama ww kweli ni mwana mageuzi na unataka ukombozi jitazame halafu badilisha strategy zako,ni mbaya na zinakufanya kutoaminika kabisa na wa kuogopwa na mtu yeyote makini.Samahani lakini.
Wewe adui wa CHADEMA si ndiyo ungefurahi zaidi?Mtanipiga mawe, lakini msimamo wangu tokea kitambo, sasa na milele ni kuwa Ben Saanane anatumika kuiua CDM. Time will tell...
Leta uthibitisho,nina haki ya kufahamina na mtu yeyote.Hakuna wa kunichagulia marafiki au maaduiBen Saananae na Deus Mallya wa Chacha Wanngwe ni marafiki wa karibu sana.
Ben kila akiulizwa kajuana vipi na Deus Mallya anapata kigugumizi!!!
LuchoKaka Ben naona unaleta thread halafu unajipigia promo mwenyewe kwa kutumia jina la jingine,sio mbaya.Asubuhi nilileta thread yangu' Chadema angalia uvunguni mwa kitanda' ww na watu ambao mnaona chadema ni yenu zaidi ya wengine mkanihita Gamba. shame on you all.Nilichomaanisha ndio hiki unachokisema,nilisema hivi ndani ya CDM hakuna kuaminiana,nikausihi uongozi kulifanyia kazi hili,si umeona mabavyo umwamini Mh Zitto? amabaye ww mwenyewe unatambua kuwa ni kiongozi wako?unataka ahojiwe kuhusu video ya Lwakatare? Umwamia.
Hivi unadhani ww unaaminika?
Mbona badala ya kuunganisha chama na kuchukulia mawazo ya wengine positively na kuyafanyia kazi mnaishia kuzodoa,mnataka mtu wa yes mzee asiye na fikra mbadala tutafika kweli kwa stahili hii?kama ww kweli ni mwana mageuzi na unataka ukombozi jitazame halafu badilisha strategy zako,ni mbaya na zinakufanya kutoaminika kabisa na wa kuogopwa na mtu yeyote makini.Samahani lakini.
tabu huu mchezo unavyoonekana ni kama imepangwa..sasa kama policcm wanafanya uchunguzi unategemea nini..wao sasa hivi wanatafuta mbili za kuimaliza CDM.HATA muwashike mkono na kuwapelekea wahusika muhimu hawatahojiwa.,hata muwataje kwenye mitandao,magazeti kazi bure..Hapa ni Chadema kujipanga tu namna ya kukabiliana na hizi hujuma na mbinu chafu ambazo ninahakika watakabiliana nazo nyingi sana..lakini ninahakika ukombozi uuuuh karibu>>.Hili suala ni jinai,halihusishi vikao vya vyama.Je CHADEMA tutafanya vikaoa vya chama na Mwigulu na Nape au Shonza na Mwampamba ambao si wanachama?Je CCM watafanya vikao na Mimi ambaye siyo mwanachama?Wengine sijui....sitawajibia