Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,230
- Thread starter
-
- #221
Is this the answer?. Kweli akili mkichwa.
Unapoulizwa swali specifically halafu una generalize an answer, hii ni kuonyesha dhahili kama kuna jambo nyuma ya pazia. Mbona katika issue yako na Mh. Zitto ulikuwa specific kuelezea jinsi unavyomfahamu na jinsi anavyokufahamu. Hili la kuhusu Ludovick kumfahamu/kukutana naye limekuwa ni kizungumti.
Kwani nani kakwambia kukutana/kumjua/kumfahamu Mtanzania yeyote ni dhambi?. Majibu yako ndiyo yanapenda kutupa ujumbe kama kukutana na Ludovick ni dhambi kwa sababu haujatoa spefic answer kwa spefic question uliloulizwa. Is he a damaged goods?.
Tabia ya ukweli kila mara ni kujichomoza hata penye tonnes za uwongo. Kama kuna ukweli, it's a matter of time, ukweli utachomoza.
Yetu ni macho na masikio.
Precisely....Hapa lazima kuna kitu nyuma ya pazia, uonapo mtu anaulizwa huku akimumunya maneno...anatafakari jinsi ya ku-overcome hali/swali aliloulizwa.
Iwaje Ben usijibu specific questions ya msingi uliyoulizwa? Badala yake maswali ya viroja ndio unayajibu haraka sana.
BEN=james bond wa JF
Zitto amekaa kimya huku nyuma akicheza michezo hii.ameshtukiwa na maneno yake yameletwa ila kweli matamshi ya TUNTEMEKE na akina julaiana hapo juu walikosea strateggy.Ben hakuwacheleweshaben Saanane
Hivi vyama ni institutions na vipo kisheria na wengi tunasimama nyuma ya vyama kwa sababu vinawakilisha misimamo kama tuliyonayo au vinatoa fikra mmbadala nje ya chama tawala. SO hizi tasisi they are there to stay until we no longer need them. Wewe unamsimamo wako kama mwanachama lakini si lazima msimamo wako ni wa chama au wa nchi. HATA KWENYE DINI KUNA WATU WANA MISIMAMO MIKALI, ITS GOOD BUT FOR SOMETIMES BUT IS NOT GOOD ALL THE TIME.
Its said ''measure of courage is to survive and not to die''. Jifunze kusamehe mwanaume mwenzako anapoamua kukubali yaishe na kuwa mpole mind u sio mpumbavu. Zitto ameamua kukaa kimya na humsikii tena akiongelea haya na alitumia ustaarabu mkubwa sanaa kwa kauli yake ya kufunga mwaka mpya hapa JF.
Kwa akina mwampamba, shozya and the like..... nashangaa hata ukijibishana nao, they have already choose they path na bahati mbaya wako CCM lakini hawalali wakifikiria CDM, they say ''u cannot hate a person u dont love".
Be strategic matamko na publicity za kwenye JF zitakupoteza.
Kuendesha chama cha upinzani ni kazi kubwa na ina challange nyingi na kwa hili CDM lazima ipitie mapito ya aina hii, na viongozi tunaowataka ni wale ambao wako tayari kuanguka wao na kubeba mzigo wa makosa yao bila kukiangusha chama. Vilevile kuna haja ya CDM kutafakari na ikiwezekana ijivue kabisa na ikae pembeni kwa viongozi wanaopatikana na sakata kama la Lwakatare. Inaweza kusaidia but it should not get itself caught in unless is political game that cdm will benefit. Lwakatare alikuwa ni mkuu wa usalama na mahali alipojiingiza inabidi aubebe msalaba huo, simhukumu na siamini kama ana makosa lakini chama kama taasisi kikae pembeni.
Ugomvi wowote kati yako na Zito au na mwanachama yeyote lazima utueleweshe una faida gani kwa chama na siasa za vyama vingi Tz kabla ya kuhamasisha yeyote ajiunge nao.
Mimi ni mtanzania na nipo tayari kuipigania Tanzania kwa sababu za msingi na zenye kutuletea mafanikio ya baadaye. Huwa sipendi kutishia au kutishiwa na mtu yeyote na by the way huwa sitishii(natenda).
Haya masifa ya humu JF hayana faida yoyote kwa ustawi wa siasa za upinzani na mwisho wa siku yatabomoa na si kujenga.
BEN=james bond wa JF
Unajaribu sana kupindisha ukweli.Sijawahi kuitumia ID ya TUNTEMEKE.Sikua interested.nilitumia ID yangu hii na ndiyo maana hata michango yangu humu ilikua ikiniweka matatni sometimes.I'm not a coward
ID ambayo nina Pasword yake ni CHAUMMA ambayo tuliifungua mimi na Kafulila na Mawazo aliyekua katibu Mwenezi na Itikadi wa CHAUMMA pale makao makuu ya CHAUMMA.
Baada ya kuweka wazi walichokua wakipanga CHAUMMA dhidi ya CHadEMa na upinzani nilibadili ile pasword haraka.Mind you baadhi yenu hadi juzi juzi mmekua mkiwasiliana na kutuma pm mkidhani mnaendelea kuwasiliana na viongozi wa CHAUMMA
kile nilichoahidi ndicho kilichotokea.Ndugu David amerudi kuomba Msamaha NCCR-Mageuzi(Vyombo vya habari vya leo jumanne vimeripoti).Acha upotoshaji huu
Duh,ujasiri wa Ben wakati mwingine nimejikuta namu admire.uwa wakati mwingine najiuliza huyu bwana mdogo anajiamini nini ? Kwa mfano suara ra Ludovick na deus Mallya nimependa aliyojibu na kuwaacha watu wakihangaika humu ila kitu nimenote ni kuwa kumbe Zitto inawezekana yupo nyuma ya huu mchezo akishirikana na akina mwigulu na kundi la Masalia?Ben ameamua kuwavaa tena kwa maneno yao wenyewe.Cdm jipangeni kukabiliana na hiri na kama kuna vijana jasiri sampuli ya akina Ben basi roho yangu imeturia
Nimegundua dogo ben anatumia akili nyingi sana.Ataumiza watu vichwa sana mwaka huu coz naona anaibukia sehemu ambazo hawatarajii.kinachonitisha ni hii extrimism yake.Mimi naona siasa za misimamo mikali ni hatari sana.bado naona huko mbele kuna vita kali kati ya zitto na Ben hebu tusubiria mnyukano wa uchaguzi ndani ya chama pale ben atakaposema stop Zitto ngazi ya taifa na zitto atakaposema stop Ben kwenye uchaguzi wa vijana.Competent actor!
Umeipata hiyo we mwana wa shetani?
Level ya Ben ni kina Shonza, kama ni ligi basi muweke Zitto na Slaa.Nimegundua dogo ben anatumia akili nyingi sana.Ataumiza watu vichwa sana mwaka huu coz naona anaibukia sehemu ambazo hawatarajii.kinachonitisha ni hii extrimism yake.Mimi naona siasa za misimamo mikali ni hatari sana.bado naona huko mbele kuna vita kali kati ya zitto na Ben hebu tusubiria mnyukano wa uchaguzi ndani ya chama pale ben atakaposema stop Zitto ngazi ya taifa na zitto atakaposema stop Ben kwenye uchaguzi wa vijana.
sasa hao akina juliana ,ben etc wakinyamaza tutajua nini kinaendelea?siasa ni mchezo mchafu,kwenye siasa kama huwezi kujua namna ya kuplaydirty then unakua haufai kua mwanasiasa.Wewe ndio MOJA kati ya vijana ambao CCM inajivunia kuwapata toka upinzani, achana na masiasa ya kuchafuana jenga cariier yako as young politician. Kiukweli naboreka na mapambano ya kuchafuana ya wanasiasa haswaaaa vijanaa... inaboaaaaa mbayaaa... upo CCM jenga CCM aliyepo CDM ajenge CDM. Mimi kama mtanzania kijan ni kuwa na Tanzania yenye mfumo mzuri wenye uwajibikaji so naturally siwezi kuwa mshabiki wa chama Tawala ila sikichukii chama tawala na sio mshabiki wa upinzani.... i need to see Tz inakuwa kama UK au USA na sio business as usual, mwenzetuu, cham kimeshika hatamuuuu..
I believe u have every chance to be a good politician for the coming generation hii mambo ya siasa chafuu tuwaachie wakina wasira na kizazi chao tujenge Tanzania ya kuwajibika na kufanya kazi kujenga nchi...
Bila kuwa na mfumo wenye check and balance Tanzania itabakia maskini hata wajukuuu zetu watakuja kutuchapa viboko kwa upumbavuu huuu... So kwangu mimi kuuu ya Tanzania nitapigana na mtu ambaye anataka kuua mfumo wenye uhuru wa kusoana na kuwa mbadala wa mawazo ya upande wa pili. We all need upinzini kwa ustawi wa nchii usjidanganye.. CCM bila upinzani imara ni jangaa la Taifa
Level ya Ben ni kina Shonza, kama ni ligi basi muweke Zitto na Slaa.
..mkuu unastahili kuweka hiyo avatar...Mapambano yameiva, tangu nianze kufatilia siasa za Tanzania sijawai ona mapambano ya namna hii. Vyama vyote vya siasa vya upinzani vilikufa kupitia hoja nyepesi sana kama za UDINI, UKABILA nk. Baada ya CHADEMA kuvuka hatua ya UDINI, UKABILA sasa tupo kwenye hatua ya mwisho, nayo ni ya UGAIDI. Kweli tunapita kwenye tanuru la kusafishwa, hakika tutaiva kwa mapambano ya 2015. Naomba tuendelee kusafishwa, wasaliti wote, majambazi wote ndani na nje ya CHADEMA wataumbuka siku si nyingi.
Mungu yupo upande wa wenye haki, viva CHADEMA.
Leta uthibitisho,nina haki ya kufahamina na mtu yeyote.Hakuna wa kunichagulia marafiki au maadui