Mkuu Mimi Baba, "usihukumu, usije ukahukumiwa!", calling a spade a spade ndio kuwa judgemental?. Jee Yuda Iskariot ilikuwa shujaa au sio shujaa?!. Kuelezea ile newtons law of "action and opposite reaction" ndio kuwa judgemental?!, au kwa sababu nimesema "payback time?!.Sikutegemea mtu kama wewe uwe judgemental
WANAJAMVI,
Natoa Rai kwa CHADEMA na kambi ya upinzani(wale wapinzani wa kweli) tujiandae sasa kutumia mbinu zile za Akina Nelson Mandela za Umkhontho we Sizwe(Spear of the nation) kupambana na ukaburu wowote utakaoinyemelea Tanzania.Kuna kila dalili ya kutaka ku-tarnish image ya wanachama,viongozi na CHADEMA kuwa ni chama cha KIGAIDI.
RED BRIGADE ichukue center stage kulinda viongozi na wanachama wetu pamoja na interest za chama popote bila kuvunja sheria lakini sheria itekelezwe bila bias. Hizi hila za kutaka kuchafua image ya chama ni mbinu ya kuwavunja moyo tu.Tusikubali.Vijana CHADEMA hatujawahi kuwa softy,siyo historia yetu, siyo falsafa wala itifaki ya Kombati kunyamazia haya.
Mkuu kwa heshima zote nadhani unaona kinachoendelea. Ni Tanzania pekee tulio na watu wengi "judgemental" na wachache kama wewe ambao wako informed na kutokuwa judgementalMkuu Mimi Baba, "usihukumu, usije ukahukumiwa!", calling a spade a spade ndio kuwa judgemental?. Jee Yuda Iskariot ilikuwa shujaa au sio shujaa?!. Kuelezea ile newtons law of "action and opposite reaction" ndio kuwa judgemental?!, au kwa sababu nimesema "payback time?!.
Pasco.
Mapambano yameiva, tangu nianze kufatilia siasa za Tanzania sijawai ona mapambano ya namna hii. Vyama vyote vya siasa vya upinzani vilikufa kupitia hoja nyepesi sana kama za UDINI, UKABILA nk. Baada ya CHADEMA kuvuka hatua ya UDINI, UKABILA sasa tupo kwenye hatua ya mwisho, nayo ni ya UGAIDI. Kweli tunapita kwenye tanuru la kusafishwa, hakika tutaiva kwa mapambano ya 2015. Naomba tuendelee kusafishwa, wasaliti wote, majambazi wote ndani na nje ya CHADEMA wataumbuka siku si nyingi
Mungu yupo upande wa wenye haki, viva CHADEMA.
Duh,ujasiri wa Ben wakati mwingine nimejikuta namu admire.uwa wakati mwingine najiuliza huyu bwana mdogo anajiamini nini ? Kwa mfano suara ra Ludovick na deus Mallya nimependa aliyojibu na kuwaacha watu wakihangaika humu ila kitu nimenote ni kuwa kumbe Zitto inawezekana yupo nyuma ya huu mchezo akishirikana na akina mwigulu na kundi la Masalia?Ben ameamua kuwavaa tena kwa maneno yao wenyewe.Cdm jipangeni kukabiliana na hiri na kama kuna vijana jasiri sampuli ya akina Ben basi roho yangu imeturia
Mkuu Mimi Baba, "usihukumu, usije ukahukumiwa!", calling a spade a spade ndio kuwa judgemental?. Jee Yuda Iskariot ilikuwa shujaa au sio shujaa?!. Kuelezea ile newtons law of "action and opposite reaction" ndio kuwa judgemental?!, au kwa sababu nimesema "payback time?!.
Pasco.
Ben,
Hao wote ndiyo wahusika wa hii move,time will tell.kunawakati nawaza kwanini Mungu amekuwa kmya hivi,Lakini napata jibu,Yeye ni Mungu.
Kama Mungu aishivyo,itajulikana yupo Mungu
Waache waendelee kusema na kuandika.
Pasco, hapo kwenye red.
Unasema ulikuwa humfahamu kabisa huyu Ludo, lakini uliposoma tu kwenye gazeti la Jamhuri, (linaloandikwa na Manyerere aliyekuwa anashabikia kwamba Ludo akamatwe) habari zake, tayari haraka-haraka umekubali kuwa yaliyoandikwa na hilo gazeti ni kweli tupu bila chenga, na yamepelekea wewe kufanya conclusion kwamba "the guilty are afraid"!!
...Jifunze kuwa na busara, so you mean Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Zuberi Kabwe,? narudia jifunze kuwa na busara, shame on you...
Kabembe hapo Red hapo ni serious concern.....!
Ben,
Hao wote ndiyo wahusika wa hii move,time will tell.kunawakati nawaza kwanini Mungu amekuwa kmya hivi,Lakini napata jibu,Yeye ni Mungu.
Kama Mungu aishivyo,itajulikana yupo Mungu
Waache waendelee kusema na kuandika.
Ben,
Hao wote ndiyo wahusika wa hii move,time will tell.kunawakati nawaza kwanini Mungu amekuwa kmya hivi,Lakini napata jibu,Yeye ni Mungu.
Kama Mungu aishivyo,itajulikana yupo Mungu
Waache waendelee kusema na kuandika.
haki ya nani, hii sasa balaa, waweza kumtuhumu naibu Katibu Mkuu wa chama chako kiasi hiki? je, una ushahidi wa kuthibitisha tuhuma dhidi yake?
wewe ukiwa mke wa Dr Slaa, hufahamu ni kiasi gani hii sentensi yaweza kukuathiri wewe, kumuathiri Dtr Slaa na kuiathiri CHADEMA kwa ujumla? hii sasa sio siasa bali ni chukii na uhasama wa muda mrefu
Unapokosa busara ya kuzungumza mbele ya hadhara ndio unataka uwe first lady wetu? kwa busara ndogo hii si utakuwa ukiropoka visivyotakiwa kuzungumzwa public? shame on you!!!!!