Baada ya kujulikana wacheza movie na kubanguliwa ngumi za uso mahakamani munageuza kibao kwa Josephine kwa hiyo Salma ni bora mjumbe wa NEC na mgombea mwenza wa Kikwete na Raisi mtarajiwa 2013 kwa ticket ya CCM
Mwambieni arudishe kisiwa alichokabidhiwa na Stella Manyanya kusini mwa ziwa Tanganyika,Pande la mbuga ya katavi aachie bwana na Bonde la kishapu aachie kable ya kuingia ulingoni 2013 kugombea uraisi kwa ticketi ya CCm kama habari zilivyooenea mtaani
huyu nae...
Zitto hawezi kupoteza muda wake na mtu kama Ben, na ndio sababu ya kumyamazia,ameshajua kua dogo anatafuta umaarufu. Tatizo linakuja ni pale Ben anafikiri huko mtaaani ni kama humu JF, ajaribu kuropoka huko aone kama hakula makofi ya chapchap.
safi mjuvi wa kila kitu endelea kuzi conceal intentions zako, mpaka cdm,na Josephine wakija gundua itakua too late. hivi Ben si hua unacheka sana ukiwa pekee yako chumbani unavyo ona unamwingiza mjini mtu ambae tume ingemtangaza 2010 leo angekua Rais? how do u feel actually. that's down courageous to u,but sick upstairs to Babu na Josephine.kudos
Ben saanane = ID (Mimibaba)
Huyu mama sijui huwa ana matatizo gani!
Mmh makubwa haya, kumbe huyu mama ni hawavumi lakini wamo mpaka visiwa wanajirithisha! du sina swali
Kamuulize kilicho mkuta, usiongeekitu ambacho hukijui...katika kitabu cha robert greene "48 laws of power" sheria yake ya kwanza "never outshine the master" kama Ben Saanane hujakisoma naomba ukitafute ukisome kitakusaidia mbeleni.
Zitto is your master,ni bosi wako,and will remain so, ulijifanya kum outsmart ilikupata cheap popularity na power zaidi yake. bahati mbaya sana the 1st law ya power uliisahau..haya ndo matokeo yake. mrudi bosi wako,kamwombe msamaha.
anyways.... by the way sina uhakika kama mmeachana au ndo new strategy ya kuvuruga chama.
unamwita babu mpenzi wa mama yako?
Kama huamini kamuulize mama ako leo.
unamwita babu mpenzi wa mama yako?
Kama huamini kamuulize mama ako leo.
Hivi kwanini toka sakata hili la kuwalwakatare wabaya wa chadema Ben amekua halali anaweweseka kujaribu kufanya cover up na kuhamisha story,kila siku anakuja na thread mpya,hivi anafanya kazi gani huyu kijana au ndio amerithi mikoba ya Ludo kwenye kitengo cha kupambana kwenye mitandao ya kijamii!!?????????Ben,
Wewe subiri Lwakatare na Ludovick wakutaje ukathibitishe ile sumu uliyopewa kumpa Zitto. Kwa sababu ulishakiri itarahisisha kazi ya hakimu...
Kamuulize kilicho mkuta, usiongeekitu ambacho hukijui...
Hivi kwanini toka sakata hili la kuwalwakatare wabaya wa chadema Ben amekua halali anaweweseka kujaribu kufanya cover up na kuhamisha story,kila siku anakuja na thread mpya,hivi anafanya kazi gani huyu kijana au ndio amerithi mikoba ya Ludo kwenye kitengo cha kupambana kwenye mitandao ya kijamii!!?????????
Hivi kwanini toka sakata hili la kuwalwakatare wabaya wa chadema Ben amekua halali anaweweseka kujaribu kufanya cover up na kuhamisha story,kila siku anakuja na thread mpya,hivi anafanya kazi gani huyu kijana au ndio amerithi mikoba ya Ludo kwenye kitengo cha kupambana kwenye mitandao ya kijamii!!?????????
the worth of money is not in pssessio,but in its use.likewise to ur brain... i said u must be sick upstairs.
kilicho tokea ni ben saanane kupewa barua ya onyo kali,na kuwekwa probation ya mwaka mzima...zitto yupo tu,january alijitokeza tmk mkutano wa hadhara watu wakapagawa kwa furaha,sasa anaendelea na mafunzo jkt na juzi kawa mwenyekiti wa kamati ya pac...labda kuna kingine
Kuchukiwa au kupendwa na wewe kuna hasara au faida gani kama maelezo uliyotoa hapa juu ndiyo busara na weledi wenyewe?BEN!!!!! Kwanza mimi sikupendi na nina sababu nyingi sana za kukuchukia ila iliyo kubwa kabisa ni kwamba "" you seem to exercise the central processing unit on this SAGA and you have kept yourself clear from the trouble"""
unaweza ukajiona ni mjanja sana katika huu usanii wako lakini kumbuka hiki ni kisima unachokichimba na utakuwa wa kwanza kudumbukia... hili ndio tatizo la vijana wa kitanzania, kila mmoja wetu ana bei na ananunulika kirahisi... sijajua MBOWE kakununua kwa kiasi gani cha fedha lakini wewe unawakilisha taswira halisi ya vijana wa kitanzania waliojaliwa na mungu AKILI, UWEZO WA KUPAMBANUA MAMBO NA KIPAJI CHA KUJIELEZA... lakini unashindwa kutumia vipaji ulivyopewa na mungu kwa manufaa ya taifa lako,chama chako na familia yako!!! umekubali kutumika na mwisho wa siku UNAELEKEA KATIKA KUJIANGAMIZA. Amini nakwambia mdogo wangu,,, unajichimbia shimo na jaribu kurejea upya maneno yako kama hayaonyeshi taswira ya uasi!!!!! UMKHOTO WE SIZWE dhidi ya serikali halali???????