Mapambano yameiva, tangu nianze kufatilia siasa za Tanzania sijawai ona mapambano ya namna hii. Vyama vyote vya siasa vya upinzani vilikufa kupitia hoja nyepesi sana kama za UDINI, UKABILA nk. Baada ya CHADEMA kuvuka hatua ya UDINI, UKABILA sasa tupo kwenye hatua ya mwisho, nayo ni ya UGAIDI. Kweli tunapita kwenye tanuru la kusafishwa, hakika tutaiva kwa mapambano ya 2015. Naomba tuendelee kusafishwa, wasaliti wote, majambazi wote ndani na nje ya CHADEMA wataumbuka siku si nyingi.
Mungu yupo upande wa wenye haki, viva CHADEMA.
Hiyo picha ya watano, nawafahamu Zitto, Shonza na Mwampamba.
Ninaisikitikia sana nchi yangu. Mungu tusaidie
Ndio maana amewataka wahojiwe kama wana hukika na wanayo yasema au wapeleke ushahidi!
- "The guilt are always afraid!", the preemptive defence mechanism at eleventh hour, won't help much!, payback time ya ushujaa wa ki Yuda Iskariot!, inakaribia!.Ushauri wa bure, "come clean, the sooner the better!.".
Kuna baa moja nilikaa jana mtu akauliza Lwakatre ni dini gani. Jamaa akawa anapiga simu confirm. Hakika naomba Mungu uweledi utamalike kwenye hili jambo.
Da naona kiza kinene
mbele, sijui ndio mwisho wa CCM, sijui Chadema au ndio mwisho wa dunia.
Ngoja niwahi church nikatubu dhambi zangu.
wakati mwingine ni vizuri kuji-expose ili usije ukapata shock ya mwaka........
- "The guilt are always afraid!", the preemptive defence mechanism at eleventh hour, won't help much!, payback time ya ushujaa wa ki Yuda Iskariot!, inakaribia!.Ushauri wa bure, "come clean, the sooner the better!.".