Hapo huayan kutakuwa na mishahara ya kimasai bila shaka na ubabaishaji mwingi kwenye kulipana helaPale garda wamepakana na kampuni ya wachina ya ulinzi pia kuna nafasi za kazi leo nimeenda nikaona tangazo kampuni inaitwa huayuan security
Binafsi maisha yangu nayajua mimi mwenyewe, hakuna mtu yeyote anaeweza kucontrol maisha yangu.Yah Mimi mwenyewe nina taaluma yangu lakini nipo kwenye ulinzi nimekosa garda ila Leo nimepata kampuni nyingine ya ulinzi nimetumia cheti Cha kidato Cha 4 na nina familia watoto wataishi vp napiga lindo mwanaume wanangu wanakula lakini mtu yupo single analialia
Ela za kununua bids, uwa wanatoa za bure zikiisha ukiwa wataka wanunua kama hutaki zitajiongeza baada ya masaa. Yes kazi za $5 zimekuwa nyingi na wanazigombea. Ndiyo maana nimejikita zaidi kwenye masuala mengine kma subtitling za movies zinazoonyeshwa NetflixZile za kubid niliona wananiletea habari sijui za kulipia hela ya nini nikaona wezi hawa 🤣🤣🤣 nikakimbiaga
Mkuu, nakuthibitishia haya makampuni ya ulinzi leo watu wanadharau ila hii kazi itakuwa ni kimbilio la watu miaka 5 au 10 ijayo.Nafasi zipo garda hata Mimi nimetoka huko leo nafasi zipo
Kampuni za ulinzi ni Garda, SGA, G4S, na Insight security.Hapo huayan kutakuwa na mishahara ya kimasai bila shaka na ubabaishaji mwingi kwenye kulipana hela
Mfano nipo Iringa watanilipa kwa njia gani baada ya kazi? Pia lazima niwe na pc? au simu tu inatosha.Ingia kupitia browser, then search kama guest.
Usikopi na kupaste. Just write in your own way. Chukua idea tu na format.
Hata contents tunazoandika huwa hatutoi kichwani kwa 100%.
Ukishakuwa na keywords unaingiza Google, unaona wengine wanaandikaje.
Then wewe unaandika upya ( rewrite ) in your own way kukwepa plagiarism. Ukiongeza na majibu ya maswali ya watu wanayouliza Google utakayoyaona kupitia search results tayari una maneno zaidi ya 1,000.
Mkuu kama nina simu tu sina pc nitaweza hizi kazi?Mkuu kumbe na wewe ni mdau wa hizi mambo. Mimi Fiverr siko active sana kule hivyo siwezi kukupa ushauri, mimi zaidi ni Upwork, Freelancer na LinkedIn.
Daah sasa pc ndo mtihaniKama we mtalaam, basi ina uhitaji mkubwa sana hasa kwa wanaotengeneza video za YT. Mtu akupe video ya madakika au masaa uedit iwe ya dakika kadhaa ni wengi kwe hizi freelancing platform
Umeshawachek hiyo kampuni ya ulinzi???Una duka,supermarket,bucha,stationary,etc. Naona niamini niweke kama kibarua nikusaidie
Mkuu umepata kazi ngapi za ku translate to kiswahili huko upwork/fiver/freelancer...?Naelewa hilo, kwani kitu gani halali ni rahisi boss? Ni juhudi na Investment. Sema kuwa Translator wa Kiswahili kuna less competition kuliko area nyingi kwa sababu watu wanaojua kiswahili mule ni wachache ukilinganisha na vitu vingine. So chances za ku bump na opportunity ni kubwa zaidi.
Hakuna kitu rahisi halali!
Umefanikiwa kupata mkuu???Nafasi zipo garda hata Mimi nimetoka huko leo nafasi zipo
Unakuwa unapewa script ? Unaifanyiaje kazi hii mkuu???Ela za kununua bids, uwa wanatoa za bure zikiisha ukiwa wataka wanunua kama hutaki zitajiongeza baada ya masaa. Yes kazi za $5 zimekuwa nyingi na wanazigombea. Ndiyo maana nimejikita zaidi kwenye masuala mengine kma subtitling za movies zinazoonyeshwa Netflix
YapUmefanikiwa kupata mkuu???
Kabisa, kwanza profile nyingi zinapigwa chini.Hio kitu sio rahisi kama inavyoandikwaga humu
Kama ni ya kingereza napewa script (sifanyi kingereza huko hizi nazifanya na wajapan) hii ya netflix naifanyia kwenye online platform ya Deluxe Studios, unakuta ina subtitle za kingereza upande mmoja mimi naweka za kiswahili.Unakuwa unapewa script ? Unaifanyiaje kazi hii mkuu???
Labda upate ya kutest network na kurecord sautiMkuu kama nina simu tu sina pc nitaweza hizi kazi?
Asante mkuu. Malipo yanafanyikaje. Si mpaka uwe na Paypal?Labda upate ya kutest network na kurecord sauti
Vp officer sema hapaNicheki 0629868082
Labda anataka kukupa kazi. Ha ha haVp officer sema hapa