Hivi ni kwanini wanakimbilia kwa wingi Zanzibar ikiwa kazi zenyewe ni kama hizi? kwanini wasitulie nyumbani wakajenga taifa, ufugaji ndio umekua haulipi ama kuna shida gani? Hali ni mbaya kwa kweli, binaadam anauza utu kwa dola 100 - 200,
kwa kifupi tu watanzania tuna machungudoa wa kiume ambao wanajiuza huko kwenye fukwe za kitalii zanzibar, nao si wengine bali ni ndugu zetu wamasai.
wanawake wakizungu wanatoka maakwao wanakuja huku na wamewageuza ndugu zetu wamasai kama ni sex workers