- Thread starter
- #21
kabisa mkuuMachawa hawawezi kuelewe wanaume siku hizi wanapenda pesa za bure.. ndio maana kumekuwa na mlipuko wa mashoga
kabisa mkuuMachawa hawawezi kuelewe wanaume siku hizi wanapenda pesa za bure.. ndio maana kumekuwa na mlipuko wa mashoga
Umesema kuwa Hali Ni mbaya, lakini hujaeleza madhara yoyote wanayopata kwa kazi hiyo.Hivi ni kwanini wanakimbilia kwa wingi Zanzibar ikiwa kazi zenyewe ni kama hizi? kwanini wasitulie nyumbani wakajenga taifa, ufugaji ndio umekua haulipi ama kuna shida gani? Hali ni mbaya kwa kweli, binaadam anauza utu kwa dola 100 - 200,
kwa kifupi tu watanzania tuna machungudoa wa kiume ambao wanajiuza huko kwenye fukwe za kitalii zanzibar, nao si wengine bali ni ndugu zetu wamasai.
wanawake wakizungu wanatoka maakwao wanakuja huku na wamewageuza ndugu zetu wamasai kama ni sex workers
Umesema kuwa Hali Ni mbaya, lakini hujaeleza madhara yoyote wanayopata kwa kazi hiyo.
Kwani kupewa pesa na kumla mzungu ubaya wake Nini, ikiwa Ni ivo tu?
From Great Warriors to Sex workers daah !! wamajitahidi sana wanastahili pongezi.wamasai
Kuna chimbo za mdudu huko?Njoo nikuoneshe sheikh na wanashinda hoteli matawi siyo hotel za uswahilini.
Hahahaaa haya mambo nyie watuKuna miaka ya nyuma Mtaliano alimfukua kinyesi Morani wa kimasai mpaka akafa kwa tamaa ya pesa.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Hivi ni kwanini wanakimbilia kwa wingi Zanzibar ikiwa kazi zenyewe ni kama hizi? kwanini wasitulie nyumbani wakajenga taifa, ufugaji ndio umekua haulipi ama kuna shida gani? Hali ni mbaya kwa kweli, binaadam anauza utu kwa dola 100 - 200,
kwa kifupi tu watanzania tuna machungudoa wa kiume ambao wanajiuza huko kwenye fukwe za kitalii zanzibar, nao si wengine bali ni ndugu zetu wamasai.
wanawake wakizungu wanatoka maakwao wanakuja huku na wamewageuza ndugu zetu wamasai kama ni sex workers
Yule Mmasai aliambiwa nitafutie mwanaume wa shoga ambandue. Masai kuona jamaa atafaidi hela akasema bora atolewe kinyesi yeye. Mtaliano akampa kifiro cha hatari mpk Masai akajiua kwa aibu.Hahahaaa haya mambo nyie watu
Nikwel utakuta kija wa kimasai ana ishi na mwanamke wa kizungu akimtegemea kwa kila kitu na nilijionea mmasai Mmoja ana tengwa utakuta bint wa kizungu yupo na familia yake Baba na mama yake ikifika wakat wakunywa chai wanakunywa chai uku mmasai waki mtenga, Yan inafikia mmasai anaenda kunywa chai kwa mama lishe.mkuu tatizo unashindwa kuliona hapo? mwanume mzima badala ya kufanya kazi akajichumia anishia kuuza utu wake kwa kujiuza? hata ushoga huanza hivivi tamaa yakupata bila ya kufanya kazi
Sasa shida iko wapi? Be a man deal na ishu zako mzee, sasa kama unapiga mzigo na unalipwa dola Mia hivi kunanshida gani? Unajua dola Mia lakini?tatizo sio kumla mkuu, tatizo ni kujiuza, hivi huoni kuwa wanalipwa pesa kwa ajili ya hayo mambo?
Zipo ukizitaka mkuu.Kuna chimbo za mdudu huko?
Nielekeze,Zipo ukizitaka mkuu.
Upo Pemba au Unguja?Nielekeze,
Shukran [emoji1545]Upo Pemba au Unguja?
Kama ni Unguja njoo hapa, fukwe jirani na Park Hyatt hotel, Mizingani au Cofee House.