Hali ni mbaya Sana kwa hawa ndugu zetu kule Zanzibar

Dah! Inasikitisha sana Ila kusema ukweli me niliwahi kufikiria kupitia njia hizo nipate pisi ya kizungu inivukishe boda tu, maana nina dream ya kwenda majuu na sijui pa kuanzia... Sasa huu uzi imenivunja moyo nafikiri sio njia nzuri hio nitakuwa nimeuza utu wangu.
 
Dah Njaa ni kitu kibaya sana
 
Wanaonekana kama mayahudi vile hata ongea yao tu

Sheikh zanzibar ingerikuwa chini ya waarabu haya yote yasingeonekana, amani ingetawala, maendeleo yangerikuwepo tena sana. Tatizo lilianzia kwa viongozi wa mwanzo kabisa

Wewe tembea kama Dubai ujionee na nasikia kuna miji mingine huko huko uarabuni. Utaona ukahaba wa hali ya juu. Night clubs nk. Kuna matajiri wa kutka nchi ulaya mashariki wanakuja kula bata huko uarabubuni. Kaaa kimya tu.
 
Mkuu Dubai ni katika vitui vikuu vya kula Bata Duniani
 
Hiyo issue ya masai kuharibiwa Zanzibar mie mwenyewe nishaona wamasai ikifika usiku wanaanza kupaka wanja, lipstik na matako yamegawanyika aiseee ni balaaa wazungu wanawapenda wamasai wanasema wanajoto kwenye Dang’aaasi, na wakisha anza wenzao wanapeleka habari kijijinj kwao na kupigwa marufuku kurud kijijini kwao [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wanaonekana kama mayahudi vile hata ongea yao tu

Sheikh zanzibar ingerikuwa chini ya waarabu haya yote yasingeonekana, amani ingetawala, maendeleo yangerikuwepo tena sana. Tatizo lilianzia kwa viongozi wa mwanzo kabisa
na ugaidi je?,bara tusingekuwa salama,kama waarabu wangeachiwa zazibar,tz ingeshavurugika zamani.
 
Hiyo issue ya masai kuharibiwa Zanzibar mie mwenyewe nishaona wamasai ikifika usiku wanaanza kupaka wanja, lipstik na matako yamegawanyika aiseee ni balaaa wazungu wanawapenda wamasai wanasema wanajoto kwenye Dang’aaasi, na wakisha anza wenzao wanapeleka habari kijijinj kwao na kupigwa marufuku kurud kijijini kwao [emoji16][emoji16][emoji16]

dah ni kweli hilo mkuu?
 
Back
Top Bottom