TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau..!
Taarifa zinasema hali ya uviko 19 nchini Uganda imezidi kushika kasi kwa siku wanareport wagonjwa 500.
Shule zimeanza kufungwa tena vifo vimeongezeka maradufu katika hii phase ya pili ya Corona nchini Uganda.
Kwa niaba ya watanzania wazalendo naomba mheshimiwa rais Samia Hassan harakishe mchakato wa upatikanaji wa chanjo kabla ya hiyo phase 3 pia ni bora tukaanza kutoa repoti ya mwenendo wa uviko 19 maana tahadhari zinapuuziwa sana kwa sasa.