Hali ni tete Uganda, Corona yashika kasi tena kupelekea shule kufungwa. Rais Samia Hassan aharakishe chanjo

Hali ni tete Uganda, Corona yashika kasi tena kupelekea shule kufungwa. Rais Samia Hassan aharakishe chanjo

Wewe unaonaje?.
idadi ya wagonjwa wa Corona wa Uganda kabla ya chanjo na baada ya chanjo IPI imezidi?
Kwa mawazo ya mamburula ni kuwa waganda wote walisha chanjwa na Corona ndiyo inapamba moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!

Kweli hii dunia imejaa machizi tofauti ni degree.
 
Mbona tanzania hatujapewa chanjo.watu wanaishi kama kawaida.
Chanjo nyingi zinakinga 70% na kuendelea, sasa watu kwa kuchoka kuvaa barakoa na kujilimit kuhusu kukutana,, wakichanjwa hudharau yote haya na kujiachia(hili ndo tatizo)
Wanasahau kuwa bado uwezekano wa 30% kuambukizwa.

Nadhani ipo ipo logical
 
Ila walinyooka kwa big brain, JPM. Akili za kuambiwa, changanya nazako
Paralysed Big brain?? PBB" sawa watamuita hivo!! ndo mmeamua kumbatiza jina hilo? CCM akili zao Bana!! km mitahaira!! COVID Iliamua kuanza nae duuu!! Sasa kakomesha Madaktari na wauguzi Mashujaa wa tiba eti ni hewa!! jamani sasa yeye kawa hewa zaidi!!!

Suala la kutibia ni la moyo wa huruma zaidi ya sana, siyo kitu cha masihara!! angalia sasa afya mbovu imemuondoa labda wale alo watumbua wangeokoa maisha yake, basi walipe stahiki zao wamelitumikia taifa kwa kuwekwa na Mamlaka husika hakuna!! heee!!

Hela zao za mafao alizo wazurumu akajengea uwanja wa ndege wa chato!! hicho kiwanja watakaa popo! na malisho mazuri ya mifugo! mjifunzege Dhuruma hailipi, huyu atasahaulika milele!!

Jiwe akikumbukwa Duniani ni kwa mabaya tu! kama anavokukmbukwa Herode, kwa mabaya yake, alivotaka kuua mbegu ya ushindi watu wajifunzege! lkn ajili ya kiburi cha uzima hawataki!!

Bora basi angechaguliwa kihalali , But Kaiba kura na kina Ole Sabaya, hivi mwizi ni mtu kweli?? piga wapinzani bakora, Funga hovyo watu wema! akizani ataishi milele, awamu kaiacha mbichiiii,

Wasaidizi wake kina Makonda kuua hovyo, kina Anzoli Gwanda. Makonda mjanja anasubiria kutubu sasa hivi hukoo SOUTH. na wewe umo tubu!! kenge weee!!

Dhambi ya Dhuruma haimuachagi mtu salama, fanya ufanyavyo!! kwa kudhirisha hili jiwe alikuwa mtu wa kwenda kanisani sana, na kumtaja Mungu bure kila mara, lkn pamoja na hayo yooote hakukumbuka kutubu!! kwa dhambi anazo zijua na asizo zijua!!

Wooote TZnians tulio Diaspora, tuna Bahati moja kubwa sana, kwa COVID hii nakuhakikishieni ndo haturidi kabisaaaa huko porini!! Mtakoma nao, na number mtaisoma haswaaaa!! Mkae na mizigo yenu!!!
 
Nataka wimbi la tatu likija liondoke na Ndugu-wayi.
Hapana Mkuu!! huyu abaki salama aishi mpaka atembelee mkongojo!! ili aone wengine wenye vipaji tukuka tunaojua kuongoza nchi kwa uzuri na wema wenye Mafanikioa ajutie alofanya mpaka akome!! hana madhra makubwa km gujiwe. ni kumchapa viboko tu!

Nimepata simu hivi punde Boby wine hali mbaya najianda kwenda kumuona ......
 
Wa kufa ungewaona.
Maana NI UGONJWA wa fasta kuua
Kwani ugonjwa kuwa mbaya ni lazima uue?

Na ukiua watu Biharamulo wewe uko Dar utawaona?

Unajua watu wangapi walikufa kwa mwaka/mwezi kabla ya Covid, na baada ya Covid?
 
Halafu mnasema Tanzania hakuna Covid ...Mnajua wangapi wanakufa hospitalini, kwani lazima uwajue ndio uamini

Kuna mawe zenu........
Covidiots..
 
Hata watengeneza covid ni wataalam. Hata waliotuingiza kwenye ufisadi wa EPA, ESCRoW, na sasa VACCINE ni wataalam. Unapashwa kuongeza na za kwako. Hao wataalam wako kwa nini hawajatokeza hadharani kupinga ushahidi wa wataalam wanaosema hadharani na ambao nimewaweka hapa kwamba "Chanjo" na "coorna yake" ni agenda mbovu? Na hawaishii happo wanakwenda mbele zaidi na kuwaambia watu namna ya kuishi salama katika covid environment? Ukitumia akili ya kawaida utaelewa kwamba chanjo si ya covid kwa kuwa unaambiwa hata ukichanjwa lazima uchukue tahadhari usije kuambukizwa na kuambukiza wengine. Mapicha haya nimekuwekea ni ushahidi kwamba kila kunapoongezeka idadi ya watu waliochanjwa, ndipo kunakuwa na ongezeko kubwa la covid. Unaambiwa kwa ushahidi kuwa wengine wamepata ukimwi baada ya kuchanjwa.

Kwa nini usiangalie nje ya box? Ninatamani hawa wapiga debe wa biashara ya covid mngepiga debe katika kuimarisha utafiti na matumizi ya dawa zetu za ndani ukizingatia Tanzania tuna kila mimea na hali ya hewa kwa matibabu. Wekeza katika ubunifu na uvumbuzi kuliko kupiga debe la mambo ambayo wengine wameshayaona hayana maana.

Kama hujui kiingereza, tafuta mtu akupe tafsiri ya video clips nilizoweka hapa, badala ya kuendeleza ubishi kwa jambo usilolijua.
Kutukana hakuhalalishi uongo.
Mimi nimeongea na wataalam wenyewe kwenye taasisi za afya za kueleweka ndugu yangu.
Acha viclip vya kihuni hivi ambavyo wahuni wanajirecord.
 
Kutukana hakuhalalishi uongo.
Mimi nimeongea na wataalam wenyewe kwenye taasisi za afya za kueleweka ndugu yangu.
Acha viclip vya kihuni hivi ambavyo wahuni wanajirecord.

Nimekutumia clips za wataalam, wewe unaita matusi.
Agalia na hii:-

Hata watengeneza covid ni wataalam. Hata waliotuingiza kwenye ufisadi wa EPA, ESCRoW, na sasa VACCINE ni wataalam. Unapashwa kuongeza na za kwako. Hao wataalam wako kwa nini hawajatokeza hadharani kupinga ushahidi wa wataalam wanaosema hadharani na ambao nimewaweka hapa kwamba "Chanjo" na "coorna yake" ni agenda mbovu? Na hawaishii happo wanakwenda mbele zaidi na kuwaambia watu namna ya kuishi salama katika covid environment? Ukitumia akili ya kawaida utaelewa kwamba chanjo si ya covid kwa kuwa unaambiwa hata ukichanjwa lazima uchukue tahadhari usije kuambukizwa na kuambukiza wengine. Mapicha haya nimekuwekea ni ushahidi kwamba kila kunapoongezeka idadi ya watu waliochanjwa, ndipo kunakuwa na ongezeko kubwa la covid. Unaambiwa kwa ushahidi kuwa wengine wamepata ukimwi baada ya kuchanjwa.

Kwa nini usiangalie nje ya box? Ninatamani hawa wapiga debe wa biashara ya covid mngepiga debe katika kuimarisha utafiti na matumizi ya dawa zetu za ndani ukizingatia Tanzania tuna kila mimea na hali ya hewa kwa matibabu. Wekeza katika ubunifu na uvumbuzi kuliko kupiga debe la mambo ambayo wengine wameshayaona hayana maana.

Kama hujui kiingereza, tafuta mtu akupe tafsiri ya video clips nilizoweka hapa, badala ya kuendeleza ubishi kwa jambo usilolijua.
Kuhusu hizi clip: ni nyingi na zimshajibiwa na watu wengi pia. Labda tu unakuwa hauko interested kusikiliza kilicho kinyume na mtazamo wako. Uzuri wake waliojibu baadhi nawafahamu.
Kuhusu penye chanjo kuwa ndio covid inaongezeka: nachukua mfano nchi za Ulaya ,hawa tangu waanze kuchanjwa cases zimekuwa zikipungua haraka sana (aliyekupa data ni mwongo kwani data zinatolewa kila siku kwenye tv kama DW au D1 kwenye taarifa ya habari:- tazama D1 ya jana sambili ipo youtube)

Kuhusu utafiti wa dawa na kinga mbalimbali wanasayansi wetu wanafanya tatizo ni ufinyu wa budget ( hili hulijui?)

Kingereza : ni sawa ni lugha ngeni kwangu siwezi kujitapa kuwa mimi ni mahili wa kingereza lakini naelewa contents zilizoandikwa au kuzungumzwa kwa kingereza.

Siku njema.[emoji120]
 
Back
Top Bottom