Kiukweli ni zamu ya waganda kusherehekea baada ya watanzania kukombolewa na uviko.inondoke na kile kizingiti pale juu,
Wimbi hili halimuachi yule kizingiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli ni zamu ya waganda kusherehekea baada ya watanzania kukombolewa na uviko.inondoke na kile kizingiti pale juu,
Imekuchoma?Jiwe, kijazi , mama Rwakatare na Mahiga ni wa Ufipa?
Inqnichoma vipi wakati hao akina jiwe waliokufa kwa korona tulitamani wafe mapema hata kwa ajali?Imekuchoma?
Bila kuchanjwa unakosa kinga ya kitabibu kwa % zote, ukichanjwa unapata kinga ya kitabibu kwa 70% au zaidi.Kuna tofauti gani na kuto chanjwa?
Na bado.Inqnichoma vipi ...?
Chanjo inasaidia kueneza Korona ili:-Habari wadau..!
Taarifa zinasema hali ya uviko 19 nchini Uganda imezidi kushika kasi kwa siku wanareport wagonjwa 500.
Shule zimeanza kufungwa tena vifo vimeongezeka maradufu katika hii phase ya pili ya Corona nchini Uganda.
Kwa niaba ya watanzania wazalendo naomba mheshimiwa rais Samia Hassan harakishe mchakato wa upatikanaji wa chanjo kabla ya hiyo phase 3 pia ni bora tukaanza kutoa repoti ya mwenendo wa uviko 19 maana taadhali zinapuuziwa sana k
Ondoa ujinga wako hapa. Kusoma hujui hujui hata picha huoni?Bila kuchanjwa unakosa kinga ya kitabibu kwa % zote, ukichanjwa unapata kinga ya kitabibu kwa 70% au zaidi.
Hizo % zinazobaki baada ya kuchanjwa zitachangiwa na jinsi unavyoishi kwa kuchukua tahadhari dhidi ya covid 19.
Fact ik
Hahah eti ukichanjwa bado uendelee kuchukua tahadhari maana unaweza ukaambukiza wengine wasiochanjwa..yaani hawajielewi hawa watuKama ni hivyo hizo chanjo hazina maana yo yote!
Kutukana hakuhalalishi uongo.Ondoa ujinga wako hapa. Kusoma hujui hujui hata picha huoni?
Kutukana hakuhalalishi uongo.
Mimi nimeongea na wataalam wenyewe kwenye taasisi za afya za kueleweka ndugu yangu.
Acha viclip vya kihuni hivi ambavyo wahuni wanajirecord.
Chanjo nyingi zinakinga 70% na kuendelea, sasa watu kwa kuchoka kuvaa barakoa na kujilimit kuhusu kukutana,, wakichanjwa hudharau yote haya na kujiachia(hili ndo tatizo)Kabla ya chanjo Uganda ndo alikuwa ana wagonjwa wachache Sana wa Corona.
Baada ya chanjo namba IMEPAA.
Tatizo nini?
Inasemekana watu walipoona chanjo imekuja wakaanza kujiachia kizembe wakaacha kuchukua taadhali.Kwanini namba imepanda ghafla baada ya chanjo?
Chanjo zilizopelekwa Uganda 864,000 Waganda wapo 47,069,000 .Na ukichanjwa sio kwamba ndio unajiachia achia kizembe unabidi uchukue taadhali.
Sio Jambo la kuombea. Hata wewe unaweza kuondoka nawe. Ugonjwa huu ni WA ajabu Sana, sio WA kuuletea mzaha.Wimbi la III la korona sijui litaondoka na vigogo gani hapa nchini!?
Kuchnjwa kunapunguza makali ya ugonjwa pindi unapokupata kama ARV vifo vinapungua,pia ukichanjwa unakupa kinga asilimia 95 ya kutopata na ugonjwa.Kuna tofauti gani na kuto chanjwa?
Kuchnjwa kunapunguza makali ya ugonjwa pindi unapokupata kama ARV vifo vinapungua,pia ukichanjwa unakupa kinga asilimia 95 ya kutopata na ugonjwa.Kuna tofauti gani na kuto chanjwa?