TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Chanjo zilizopelekwa Uganda 864,000 Waganda wapo 47,069,000 .Na ukichanjwa sio kwamba ndio unajiachia achia kizembe unabidi uchukue taadhali.Si walitumia chanjo?
Da hili gonjwa limetumwa?. Yaani stress zote za maisha na lenyewe linajileta !.
Chanjo zilizopelekwa Uganda 864,000 Waganda wapo 47,069,000 .Na ukichanjwa sio kwamba ndio unajiachia achia kizembe unabidi uchukue taadhali.
Wimbi la III la korona sijui litaondoka na vigogo gani hapa nchini!?
Chanjo zilizopelekwa Uganda 864,000 Waganda wapo 47,069,000 .Na ukichanjwa sio kwamba ndio unajiachia achia kizembe unabidi uchukue taadhali.
Habari wadau..!
Taarifa zinasema hali ya uviko 19 nchini Uganda imezidi kushika kasi kwa siku wanareport wagonjwa 500.
Shule zimeanza kufungwa tena vifo vimeongezeka maradufu katika hii phase ya pili ya Corona nchini Uganda.
Kwa niaba ya watanzania wazalendo naomba mheshimiwa rais Samia Hassan harakishe mchakato wa upatikanaji wa chanjo kabla ya hiyo phase 3 pia ni bora tukaanza kutoa repoti ya mwenendo wa uviko 19 maana taadhali zinapuuziwa sana kwa ss.
Akili kumkichwa, ndo maana nilisema serikali wasiitishe kampeni yoyote ya hizi chanjo wazitoe tu kwa wanaozihitaji, unaweza kujikuta badala ya kutoa chanjo unatoa infective dose ya virusi venyewe live, sasa ukichoma kwa watu wengi inakuwa rahisi huo mlipuko kukamata na kwenda juu, unapata situation kama ya India na kule America....Kwanini namba imepanda ghafla baada ya chanjo?
Akili kumkichwa, ndo maana nilisema serikali wasiitishe kampeni yoyote ya hizi chanjo wazitoe tu kwa wanaozihitaji, unaweza kujikuta badala ya kutoa chanjo unatoa infective dose ya virusi venyewe live, sasa ukichoma kwa watu wengi inakuwa rahisi huo mlipuko kukamata na kwenda juu, unapata situation kama ya India na kule America....
Kama ni hivyo hizo chanjo hazina maana yo yote!Chanjo zilizopelekwa Uganda 864,000 Waganda wapo 47,069,000 .Na ukichanjwa sio kwamba ndio unajiachia achia kizembe unabidi uchukue taadhali.