Kwani huko uganda wamekataa kuchanjwa?Habari wadau..!
Taarifa zinasema hali ya uviko 19 nchini Uganda imezidi kushika kasi kwa siku wanareport wagonjwa 500.
Shule zimeanza kufungwa tena vifo vimeongezeka maradufu katika hii phase ya pili ya Corona nchini Uganda.
Kwa niaba ya watanzania wazalendo naomba mheshimiwa rais Samia Hassan harakishe mchakato wa upatikanaji wa chanjo kabla ya hiyo phase 3 pia ni bora tukaanza kutoa repoti ya mwenendo wa uviko 19 maana taadhali zinapuuziwa sana kwa ss.
Maana ya chanjo unaingiziwa kirusi ambacho athari yake ni kuamsha kinga mwili dhidi ya ugonjwa unaosababishwa na hicho kirusi. Sasa mahesabu yakienda kombo kidogo maana yake wewe uliyepigwa chanjo upo ktk shida kubwa na kama utasalimika maana yake utatumika kama chanzo cha ugonjwa kwa wemgime.Kweli.
Uganda walikuwa na namba ndogo Sana za Corona.
Lakini Kwa hii idadi ya muda mfupi.wagonjwa 900+
Sio Jambo dogo.kuna nini hapo?
Na wale wazee wa kulilia chanjo hauwezi kuwaona hapa.
Baada ya models zao kushindwa kuwapa uhalisia wa kasi ya maambukizi na vifo Africa kama walivyokuwa wanategemea kuona maiti barabarani, who knows yawezekana wamekuja kwa strategy ya hii vaccine.Kweli.
Uganda walikuwa na namba ndogo Sana za Corona.
Lakini Kwa hii idadi ya muda mfupi.wagonjwa 900+
Sio Jambo dogo.kuna nini hapo?
Na wale wazee wa kulilia chanjo hauwezi kuwaona hapa.
Ila ile tume uchwara ya covid, ndiyo italeta maambukizi mengi, stay tuned watu waanze kudungwa kirusi.Ila jamani majirani zetu watakuwa wanatushangaa Sana, sisi life ni kawaida
Covid 19 inasambaaje tena wakat wamedungwa Chanjo? Hayat katuonesha njia sahihi dah (RIP our beloved)Habari wadau..!
Taarifa zinasema hali ya uviko 19 nchini Uganda imezidi kushika kasi kwa siku wanareport wagonjwa 500.
Shule zimeanza kufungwa tena vifo vimeongezeka maradufu katika hii phase ya pili ya Corona nchini Uganda.
Kwa niaba ya watanzania wazalendo naomba mheshimiwa rais Samia Hassan harakishe mchakato wa upatikanaji wa chanjo kabla ya hiyo phase 3 pia ni bora tukaanza kutoa repoti ya mwenendo wa uviko 19 maana taadhali zinapuuziwa sana kwa ss.
Hofu yangu iko kwenye kiti mkuu, mama anaweza kuwa frustrated mpka tukaingizwa lockdown. Maana Twitter saizi ndo mpango mzima wa maamuzi, Ila walinyooka kwa big brain, JPM. Akili za kuambiwa, changanya nazakoMungu amuongoze huyu mama kwa kweli.
Hili swala la korona kwa kweli kwetu isingekuwa agenda kihivyo maana tokea awamu zote za korona matokeo ya athari yamekua negative.
Sasa yukijifanya kiherehere huwenda tukaamsha yalio lala!
Jamani aliye karibu nao awaambie wapige nyungu kwa kwenda mbele, wadudu wa Corona hawawezi kuhimili joto kali.Chanjo zilizopelekwa Uganda 864,000 Waganda wapo 47,069,000 .Na ukichanjwa sio kwamba ndio unajiachia achia kizembe unabidi uchukue taadhali.
Wimbi la III la korona sijui litaondoka na vigogo gani hapa nchini!?
Kwa hiyo waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson nae anaipinga hio chanjo ambayo wamatumbi wanaidai ije haraka!!!Chanjo ya PFIZER imepunguza sana mzigo wa UVIKO Uingereza.
Science has proved Boris Johnson wrong – vaccines are reducing deaths and cases
Science has proved Boris Johnson wrong – vaccines are reducing deaths and cases - Health - operanewsapp
opr.news
Utafiti uliohusisha watu 170,000 baada ya kupata chanjo umeonyesha idadi ya wagonjwa kupungua kwa asilimia 75 kwa watu wenye umri kati ya miaka 80 hadi 83 ndani ya siku 35 hadi 41 baada ya kupata dozi ya kwanza.
Kasi ya maambukizi imepungua kwa asilimia 70. Idadi ya waathirika imeshuka kutoka asilimia 15.3 hadi 4.6 kwa watu 100,000 waliopimwa.
CHANZO
telegraph.co.uk April 14 2021
11:27 PM
Vigogo wa ufipa.Wimbi la III la korona sijui litaondoka na vigogo gani hapa nchini!?
Kwani uko si wanaendelea kupata chanjo, hofu yanini tena?Habari wadau..!
Taarifa zinasema hali ya uviko 19 nchini Uganda imezidi kushika kasi kwa siku wanareport wagonjwa 500.
Shule zimeanza kufungwa tena vifo vimeongezeka maradufu katika hii phase ya pili ya Corona nchini Uganda.
Kwa niaba ya watanzania wazalendo naomba mheshimiwa rais Samia Hassan harakishe mchakato wa upatikanaji wa chanjo kabla ya hiyo phase 3 pia ni bora tukaanza kutoa repoti ya mwenendo wa uviko 19 maana taadhali zinapuuziwa sana kwa ss.
Hahahahaha, wako bize kwenye kampeni ya 💎 hukoKweli.
Uganda walikuwa na namba ndogo Sana za Corona.
Lakini Kwa hii idadi ya muda mfupi.wagonjwa 900+
Sio Jambo dogo.kuna nini hapo?
Na wale wazee wa kulilia chanjo hauwezi kuwaona hapa.
Duh! Bac sawaChanjo zilizopelekwa Uganda 864,000 Waganda wapo 47,069,000 .Na ukichanjwa sio kwamba ndio unajiachia achia kizembe unabidi uchukue taadhali.
Alikuwa na mawazo ya "kimatumbi"...utafiti wa kisayansi umethibitisha tofauti na mawazo ya "kimatumbi"Kwa hiyo waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson nae anaipinga hio chanjo ambayo wamatumbi wanaidai ije haraka!!!
Kama ni hivyo hizo chanjo hazina maana yo yote!
Jiwe, kijazi , mama Rwakatare na Mahiga ni wa Ufipa?Vigogo wa ufipa.