mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Inasemekana watu walipoona chanjo imekuja wakaanza kujiachia kizembe wakaacha kuchukua taadhali.
Kwa mawazo ya mamburula ni kuwa waganda wote walisha chanjwa na Corona ndiyo inapamba moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!
Kweli hii dunia imejaa machizi tofauti ni degree.
Chanjo nyingi zinakinga 70% na kuendelea, sasa watu kwa kuchoka kuvaa barakoa na kujilimit kuhusu kukutana,, wakichanjwa hudharau yote haya na kujiachia(hili ndo tatizo)
Wanasahau kuwa bado uwezekano wa 30% kuambukizwa.
Nadhani ipo ipo logical
Linaweza kuondoka na wewe. Au unafikiri ni wao tu ndio wako vulnerable?Wimbi la III la korona sijui litaondoka na vigogo gani hapa nchini!?
Ni kweli. Mwendazake aliuletea mzaha ukampeleka kuzimu.Ugonjwa huu ni WA ajabu Sana, sio WA kuuletea mzaha.
Mm nani ananijua? Nikifa hakuna atakayefahamu nimekufa. Shida ipo kwa hao vigogo.Linaweza kuondoka na wewe. Au unafikiri ni wao tu ndio wako vulnerable?
mnatoa report za ugonjwa?kama hamna report basi hamna haki ya kuongea mbele ya wenye report.Kama kujiachia tanza tunajiachia zaidi Yao.
Na HATUVAI Barakoa wala kutumia sanitizer wala maji tiririka.kwanini kwao?
mnatoa report za ugonjwa?kama hamna report basi hamna haki ya kuongea mbele ya wenye report.
Paralysed Big brain?? PBB" sawa watamuita hivo!! ndo mmeamua kumbatiza jina hilo? CCM akili zao Bana!! km mitahaira!! COVID Iliamua kuanza nae duuu!! Sasa kakomesha Madaktari na wauguzi Mashujaa wa tiba eti ni hewa!! jamani sasa yeye kawa hewa zaidi!!!Ila walinyooka kwa big brain, JPM. Akili za kuambiwa, changanya nazako
Hapana Mkuu!! huyu abaki salama aishi mpaka atembelee mkongojo!! ili aone wengine wenye vipaji tukuka tunaojua kuongoza nchi kwa uzuri na wema wenye Mafanikioa ajutie alofanya mpaka akome!! hana madhra makubwa km gujiwe. ni kumchapa viboko tu!Nataka wimbi la tatu likija liondoke na Ndugu-wayi.
Duuh! Hatari sana, tumuombee.Nimepata simu hivi punde Boby wine hali mbaya najianda kwenda kumuona ......
Wewe nchi yenyewe "Data Not Available" hata kawaida unaijuaje na kuipimaje?Mbona tanzania hatujapewa chanjo.watu wanaishi kama kawaida.
Wewe nchi yenyewe "Data Not Available" hata kawaida unaijuaje na kuipimaje?
Kwani ugonjwa kuwa mbaya ni lazima uue?Wa kufa ungewaona.
Maana NI UGONJWA wa fasta kuua
Kutukana hakuhalalishi uongo.
Mimi nimeongea na wataalam wenyewe kwenye taasisi za afya za kueleweka ndugu yangu.
Acha viclip vya kihuni hivi ambavyo wahuni wanajirecord.
Kutukana hakuhalalishi uongo.
Mimi nimeongea na wataalam wenyewe kwenye taasisi za afya za kueleweka ndugu yangu.
Acha viclip vya kihuni hivi ambavyo wahuni wanajirecord.
eti ukichanjwa bado uendelee kuchukua tahadhari maana unaweza ukaambukiza wengine wasiochanjwa..yaani hawajielewi hawa watu
Aliyekwambia imepanda baada ya chanjo ni nani?Kwanini namba imepanda ghafla baada ya chanjo?
Kuhusu hizi clip: ni nyingi na zimshajibiwa na watu wengi pia. Labda tu unakuwa hauko interested kusikiliza kilicho kinyume na mtazamo wako. Uzuri wake waliojibu baadhi nawafahamu.Hata watengeneza covid ni wataalam. Hata waliotuingiza kwenye ufisadi wa EPA, ESCRoW, na sasa VACCINE ni wataalam. Unapashwa kuongeza na za kwako. Hao wataalam wako kwa nini hawajatokeza hadharani kupinga ushahidi wa wataalam wanaosema hadharani na ambao nimewaweka hapa kwamba "Chanjo" na "coorna yake" ni agenda mbovu? Na hawaishii happo wanakwenda mbele zaidi na kuwaambia watu namna ya kuishi salama katika covid environment? Ukitumia akili ya kawaida utaelewa kwamba chanjo si ya covid kwa kuwa unaambiwa hata ukichanjwa lazima uchukue tahadhari usije kuambukizwa na kuambukiza wengine. Mapicha haya nimekuwekea ni ushahidi kwamba kila kunapoongezeka idadi ya watu waliochanjwa, ndipo kunakuwa na ongezeko kubwa la covid. Unaambiwa kwa ushahidi kuwa wengine wamepata ukimwi baada ya kuchanjwa.
Kwa nini usiangalie nje ya box? Ninatamani hawa wapiga debe wa biashara ya covid mngepiga debe katika kuimarisha utafiti na matumizi ya dawa zetu za ndani ukizingatia Tanzania tuna kila mimea na hali ya hewa kwa matibabu. Wekeza katika ubunifu na uvumbuzi kuliko kupiga debe la mambo ambayo wengine wameshayaona hayana maana.
Kama hujui kiingereza, tafuta mtu akupe tafsiri ya video clips nilizoweka hapa, badala ya kuendeleza ubishi kwa jambo usilolijua.