cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Sio uongo, huu mwaka wanafunzi wengi hawataenda chuoni,Mimi namshukuru mungu ndugu yangu nilipata batch one. Lakini hali bado si shwari kwangu pamoja na rafiki zangu wanaonizunguka wengi wao wamekata tamaa ya kwenda chuo mwaka huu
Huwenda huu ndio ukawa mwaka ambao wanafunzi wengi hawataripoti chuoni
MUNGU ATUSIMAMIE TUSIKATE TAMAA
Nawaona wengi tyuuh mtaani, wakati muda was kuripoti ndo huu.