Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

Bodi kwanamna wanavo teseka vijana wapigieni pasi hata boom wote wakajitafute vyuoni,wana dhurula sana hali ni mbaya sana uraiani
 
mimi nakumbuka media zilitufuata kutuhoji pale ofisi za bodi mwenge mpakani. kina Abdul nondo wakaja wakapaza sauti sana later on president magufuli akasema hela yake aliyo itenga kwa wanafunzi haijaisha aiseeh bodi ya mikopo wakatoa batch fasta tena yenye hela nyingi
Hawa watu sio Siri wanaminya pesa kibao mifukoni mwao,
 
Mimi namshukuru mungu ndugu yangu nilipata batch one. Lakini hali bado si shwari kwangu pamoja na rafiki zangu wanaonizunguka wengi wao wamekata tamaa ya kwenda chuo mwaka huu

Huwenda huu ndio ukawa mwaka ambao wanafunzi wengi hawataripoti chuoni

MUNGU ATUSIMAMIE TUSIKATE TAMAA
SSH kamwaga division 1 kama njugu ,akasahau , mkopo kugawa kama njugu🥺
 
Back
Top Bottom