Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

Sio uongo, huu mwaka wanafunzi wengi hawataenda chuoni,
Nawaona wengi tyuuh mtaani, wakati muda was kuripoti ndo huu.
 
Tatizo sio kupaza sauti, tatizo ni mfumo wa uendeshaji ktk bodo husika,
Kila mwaka tatizo ni lile lile linajirudia khaaah.
mimi nakumbuka media zilitufuata kutuhoji pale ofisi za bodi mwenge mpakani. kina Abdul nondo wakaja wakapaza sauti sana later on president magufuli akasema hela yake aliyo itenga kwa wanafunzi haijaisha aiseeh bodi ya mikopo wakatoa batch fasta tena yenye hela nyingi
 
Bila monitoring hii mbungi ni ngumu
mamlaka wasaidieni vijana wanazagaa sana mtaani
 
Ni kweli mkuu Hila Nako huko udiplomani atujui wataigawaje hiyo national cake uenda Nako kukawa na masononeko kaya haya au zaidi hata ya haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…