Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

Bodi ya mikopo inafanya kazi kwa upendeleo sana Mimi najuliza mpaka Leo wale wahitimu wa miaka X anbao walinufaika na wakasamehewa he wao ni bira sana au hawajutumia kodi za Watanzania?
 
Bodi ya mikopo inafanya kazi kwa upendeleo sana Mimi najuliza mpaka Leo wale wahitimu wa miaka X anbao walinufaika na wakasamehewa he wao ni bira sana au hawajutumia kodi za Watanzania?
Hali ni tete chief, mambo hayafanyiki kwa uwazi hata kidogo
 
Mbaya zaidi kukata rufaa kwa zamani ni lazima uwe umejisajili na chuo ,means uwe umelipa ada ndio unaruhusiwa ku appeal, je mtoto wa masikini ada ataitoa wapi??

kama haujatoka familia duni unaweza ona ni mzaha nacho kiandika hapa
Hakika kabisa mkuu ambao hawako kwenye hii situation hawaelewi hili, wao wanachukulia mzaha tu.
Sio wazazi wala sisi wanafunzi ni mawazo tu mpaka kuna mda mtu unashindwa hata kula
 
Wew c ulishapata mkopo mkuu, au bdo
Mimi namshukuru mungu ndugu yangu nilipata batch one. Lakini hali bado si shwari kwangu pamoja na rafiki zangu wanaonizunguka wengi wao wamekata tamaa ya kwenda chuo mwaka huu

Huwenda huu ndio ukawa mwaka ambao wanafunzi wengi hawataripoti chuoni

MUNGU ATUSIMAMIE TUSIKATE TAMAA
 
Duh poleni sana vijana, mambo ya bodi magumu sana sitaki kuyakumbuka yalitesa sana.
Ifike kipindi Sasa serikali ifute ada kwa vyuo vikuu wawape fungu vyuo vyoye kulingana na capacity ya wanafunzi wanaodahiliw kwa Kila chuo. wanafunzi wawe wanaomba pesa za kujikwimu tu uko bodi ada iwe kwa wote kwani si nchi tajiri hii ccm mnavyotuambia na pesa si juzi tu zimeingizwa dp wameshatufanyia wepesi hiyo Kasi ya kununua ma v8 iendane na Kasi ya kuwalipia ada wananchi kwani rasilimani si za viongozi tu ni zetu sote itapendeza tukiisawazisha tuifaidi sote ninyi fungu lenu itumieni kwenye kununua ma v8 ya kwetu sisi tunaomba basi walau wadogo zetu wasome bila stress za ugumu wa maisha
 
Back
Top Bottom