Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
- Thread starter
- #21
Ajaribu ku log out then alog in upya.Mwanangu anashindwa kuingia kwenye akaunti kabisa.
bodi isiwafanyie hivi vijana,nihaki yao kusoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajaribu ku log out then alog in upya.Mwanangu anashindwa kuingia kwenye akaunti kabisa.
Mie nimeamka kuliaMbaya zaidi kukata rufaa kwa zamani ni lazima uwe umejisajili na chuo ,means uwe umelipa ada ndio unaruhusiwa ku appeal, je mtoto wa masikini ada ataitoa wapi??
kama haujatoka familia duni unaweza ona ni mzaha nacho kiandika hapa
so sad, usikate tamaaMie nimeamka kulia
Hali ni tete chief, mambo hayafanyiki kwa uwazi hata kidogoBodi ya mikopo inafanya kazi kwa upendeleo sana Mimi najuliza mpaka Leo wale wahitimu wa miaka X anbao walinufaika na wakasamehewa he wao ni bira sana au hawajutumia kodi za Watanzania?
SSH naimani atalifanyia kazi hili ,hali si shwari kwa vijana hawaioni kesho yenye matumainiawamu ya SSH imekaa kisiasa zaidi hata kwenye mambo ya msingi.
Every thing will come to you at the right moment be patientWatu tumekata tamaa tu kwakwelii.
Inaumiza unaingia kwenye account unakuta wait for allocation na hawakupi.
[emoji1545]Mungu atutetee
Saivi tuko kwenye denial phaseEvery thing will come to you at the right moment be patient
dont ever give upSaivi tuko kwenye denial phase
Hakuna statement inaumiza kama "........wait for allocation process"
Tena kwa continous student ahhh
Amendont ever give up
Hakika kabisa mkuu ambao hawako kwenye hii situation hawaelewi hili, wao wanachukulia mzaha tu.Mbaya zaidi kukata rufaa kwa zamani ni lazima uwe umejisajili na chuo ,means uwe umelipa ada ndio unaruhusiwa ku appeal, je mtoto wa masikini ada ataitoa wapi??
kama haujatoka familia duni unaweza ona ni mzaha nacho kiandika hapa
AmenKilio chenu kitasikika ,haki itatendeka
Wew c ulishapata mkopo mkuu, au bdoAmen
Mimi namshukuru mungu ndugu yangu nilipata batch one. Lakini hali bado si shwari kwangu pamoja na rafiki zangu wanaonizunguka wengi wao wamekata tamaa ya kwenda chuo mwaka huuWew c ulishapata mkopo mkuu, au bdo