Hali si shwari kati ya Hussein Mwinyi na Othman Masoud. Hawaelewani kuhusu suala la Muungano



Hiyo ni $10 billion from FDI alone injected kwenye uchumi mwaka mmoja tu; na kila mwaka investment inaongezeka ndio maana nikakwambia Israel is not short of investors wa kuchochea uchumi wao.

Kwenye kusoma cha Gas kutoka baharini kuna mafuta pia kama hujui.

Ni hivi tafuta mfano mwingine Israel military aipewe silaha na USA tu ata U.K. hela ambazo awatoi wao, settlers wanaorudi Israel nyumba wanazojengewa zinatoka nje, ni hivi uwezi kujiweka sawa na Israël.
 

..wenye silaha zinazoua watu ni Ccm na vyombo vyao.

..sielewi kwanini unamshuku OMO kuwa atasababisha vifo wakati unajua wanaoua ni Ccm na vyombo vyao.
 

Zanzibar diaspora wakichangia hata asilimia 10% tuu ya mchango wa Wayahudi wa diaspora kwa Israel, Zanzibar itaendelea. Ndiyo unavyoshindwa kuelewa. Hata nisipotumia mfano wa Israel, nikitumia wa Kenya utaona sera mbovu ndiyo zinakwamisha Tanzania.

Kenya na Tanzania zote zilikuwa nchi moja British East Africa. Baada ya uhuru Nyerere alijenga ujamaa wake, Kenyatta akafanya kivyake. Na Kenya iliipiga ovateki Tanzania kiuchumi zamani sana pamoja na kwamba Tanzania ni kubwa na ina rasilimali kuizidi Kenya. Sasa subiri uone ka nchi kadogo Rwanda kanaipiga tena ovateki Tanzania. utashangaa.

Free Zanzibar
 
Niliona kwenye Royal tour stock ya meno ya tembo ipo Zenji kwanini?
Huo ndio muingiliano wa kihistoria unaohesabiwa kama faida za Muungano:: meno ya tembo yaliyokamatwa Tanganyika yanatunzwa Zanzibar.

Wanalazimisha muungano. Hawawezi kutaja faida hata moja inayopata Tanganyika kutoka Zanzibar.
 
“Kama Othman Masoud hataki Muungano, na wewe pia huujali Muungano, why are you hyperventilating and attacking and disparaging him?”

Wouldn’t that question apply to you also, and all other contributors who are separatist. If by contrasting his lies translate into personal attack.

Kama umesoma hoja zangu utaona shida yangu ni kukwera na manu’nguniko ya wazanzibari more so na huyo Othman na uongo wake wa bara kuonea Zanzibar na kuikandimiza kama nchi, icho ndio nijaribu kuonyesha na si attack kwake yeye.

Kama ataki muungano ni sawa tu but aweke fair arguments.
 
Hamjamwelewa!
Masoud ni speaker tu ya wasemaji FULANI!
Kwakuwa hoja ya katiba Mpya imeshakolezwa ndani ya CHAMA Basi Bunge litaongea nje kabla ya kuundwa!!
TUSUBIRI
 
Waisrael hao wanaotoa harambee ni kwenye ujenzi wa nyumba za wahamiaji wapya na miradi ya jamii; hiyo ni sadaka tu.

Vigogo wana peleka capital ambazo zinatengeneza ajira mwaka wa jana ni $10 billion.

Zanzibar uwekezaji wa $30m watu wanafukuzwa visiwani apewe mgeni; huyo mzanzibari diaspora unaemjua wewe anaeweza kuwekeza $2 million tu embu mtaje.

Get real
 

Bakhressa ni mfano mmoja wa Zanzibar diaspora. Tatizo lako hujui uchumi, unaongea tuu unachoamini halafu unachanganya na siasa. Ungejua uchumi ungejua potential ya Zanzibar diaspora.
 

Mwinyi is a wiseman. Yule kenge wa ACT ni separatist sugu ambaye haifai Zanzibar kwa lolote lile!
 
Huo ndio muingiliano wa kihistoria unaohesabiwa kama faida za Muungano:: meno ya tembo yaliyokamatwa Tanganyika yanatunzwa Zanzibar.

Wanalazimisha muungano. Hawawezi kutaja faida hata moja inayopata Tanganyika kutoka Zanzibar.
Warudishe meno ya ndovu wetu, na muungano hauna maana yoyote kwa sisi watanganyika ujue.
 
Mwinyi is a wiseman. Yule kenge wa ACT ni separatist sugu ambaye haifai Zanzibar kwa lolote lile!

..Mwinyi angekuwa wise asingekubali chama chake na vyombo vyake kuuwa Waznz na kuharibu uchaguzi ili yeye apate madaraka.

..Othman Masoud anajiamini kwasababu ana rekodi ya kusimamia maslahi ya Waznz. Pia mambo anayoyazungumza yanaungwa mkono na Waznz.
 
Bakhressa ni mfano mmoja wa Zanzibar diaspora. Tatizo lako hujui uchumi, unaongea tuu unachoamini halafu unachanganya na siasa. Ungejua uchumi ungejua potential ya Zanzibar diaspora.

Tupe mfano wa Mzanzibari yeyote aliyezuiliwa kushiriki katika ujenzi wa Zanzibar!
 

Huu Muungano hautofautiani sana na ndoa ya mke mmoja, mume mmoja. Kwenye ndoa zilizo nyingi, hakuna fairness. Kwa mfano, mara nyingi sana, hela ya mke ni ya mke, lakini hela ya mume ni hela ya familia. This is a harsh reality all husbands have to contend with. Ukiamua kupigania fairness, hiyo ndoa itavunjika. Unfortunately, hata ndoa inayofuata nayo itavunjika usipobadilika.
 
Mnatakaa waijenge Zanzibar ili mje kupora tena na kuifilisi tena? Watu siyo wajinga kama unavyofikiria wewe.

Mali gani za Zanzibar zimewahi kuporwa na Watanganyika? Huyo Bakhressa unayemtolea mfano kuwa ni Mzanzibari, angelowea bara kama Watanganyika wangekuwa waporaji?
 
Hujui kwamba ulimi ukitumika vibaya ni sawa na weapon of mass destruction?

..Act hawana means za kufanya mass destruction.

..Mauaji ya kimbari ya Watutsi na Wayahudi yalifanywa na vijana wa vyama tawala vya Rwanda na Ujerumani.

..Wanaoweza kufanya unyama na ukatili wa kiwango cha mass destruction ni Ccm kwani vyama tawala kihistoria ndio vimewahi kufanya hivyo.

..Kwa msingi huo, tuwe macho na Ccm kwani dalili wanazoonyesha sio nzuri.
 
Safari hii Ccm wamepatikana

ila kauli kama hizi haziwezi kuitisha ccm kamwe, maana Ccm ni dude kubwa mno kwa OMO kulimudu.
Nguruvi3 Pascal Mayalla Tindo
Kilatha Kalamu

..Maalim Seif alipofariki Ccm walidhani mrithi wake hatakuwa mtu imara.

..kuna wasomi wachache sana wanaoifahamu Znz kwa undani kama anavyoifahamu Othman Masoud.

..Hussein yeye ni mgeni ktk siasa za Znz hivyo hawezi kusimama hoja kwa hoja dhidi ya Othman.

..Sio kwamba Hussein hataki kujibu kama alivyodai. Ukweli ni kwamba hana majibu ya hoja anazoibua Othman Masoud.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…