Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Kwa hiyo unafikiri US military aid ndiyo imeinua uchumi wa Israel? Unajua tofauti ya military aid vs economic aid? Halafu hayo mafuta yanachimbwa wapi? Au unazungumzia gesi ambayo wameanza kuchimba siku za karibuni tuu? Na kabla hawajaanza kuchimba hiyo gesi uchumi wao ulikuwa mkubwa tayari.
Siri ya maendeleo yao ni Wayahudi wa diaspora (diaspora jews). Wako diaspora matajiri hao akina Abromovich, wako wenye uchumi wa kati (madaktari, ma engineers, mawakili, n.k), wako maskini lakini asilimia yao kubwa wanaisapoti Israel. Zanzibar ina diaspora kubwa sana, kuna matajiri, kuna wenye uchumi wa kati, kuna wenye uchumi wa chini na wote Zanzibar ikipata mamlaka kamili, diaspora wataisaidia kiuchumi. Kwa sababu wote ni Zanzibar nation. Nyie machogo mtabaki kuyaonea wivu maendeleo ya Zanzibar na kuleta uhasama. Uhasama na wivu kama ule alioujenga Nyerere dhidi ya Kenya baada ya Kenyatta kuukata Muungano wa Kenya na Tanzania na kuiona Kenya inaendelea kiuchumi wakati Tanzania inakwama.
Hiyo ni $10 billion from FDI alone injected kwenye uchumi mwaka mmoja tu; na kila mwaka investment inaongezeka ndio maana nikakwambia Israel is not short of investors wa kuchochea uchumi wao.
Kwenye kusoma cha Gas kutoka baharini kuna mafuta pia kama hujui.
Ni hivi tafuta mfano mwingine Israel military aipewe silaha na USA tu ata U.K. hela ambazo awatoi wao, settlers wanaorudi Israel nyumba wanazojengewa zinatoka nje, ni hivi uwezi kujiweka sawa na Israël.