Uchaguzi 2020 Hali si shwari ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally amekemea vikali baadhi ya wanachama wanaopanga kukisaliti chama

Uchaguzi 2020 Hali si shwari ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally amekemea vikali baadhi ya wanachama wanaopanga kukisaliti chama

Umeandika kwa hisia sana pole sana
No wanakera mno, wanauzi mno, wao walijiita ni Ccm Mpya, walitudharau na kutunyanyasa, tuliumia Sana Mwaka 2015 kumuweka magufuli madarakani ushindi ule ulituumiza matokeo yake amekuwa akitunanyanyasa kabisaaa na uteuzi wote kaufanya yeye, hukusikia alipokuwa Singida alisema kuwa yeye ndie aliemuweka mkumbo Ubungo? Inamaaana Ubungo hakukuwa na watu Wa Ccm? Wanauzi bhana heli aondoke tuanze upya
 
No wanakera mno, wanauzi mno, wao walijiita ni Ccm Mpya, walitudharau na kutunyanyasa, tuliumia Sana Mwaka 2015 kumuweka magufuli madarakani ushindi ule ulituumiza matokeo yake amekuwa akitunanyanyasa kabisaaa na uteuzi wote kaufanya yeye, hukusikia alipokuwa Singida alisema kuwa yeye ndie aliemuweka mkumbo Ubungo? Inamaaana Ubungo hakukuwa na watu Wa Ccm? Wanauzi bhana heli aondoke tuanze upya

Duh
 
Wakuu, Katibu Mkuu wa Ccm ametishia kuwafukuza wanaccm ambao wamepanga kumpa kura tundu lisu na kufikia mahali Ya kusema kuwa, watafukuzwa na watataifishwa Mali zao.

Unajua watu wanafanya mzaha na siasa za kutisha na kutumia manguvu pasipo ueredi na mwisho kutatokea anguko kubwa lisilotegemewa, siasa inataka akiri sio nguvu, Katibu badala Ya kutumia maneno Ya busara anatishia watu kuwa atawafukuza huku akijua kuwa kupiga kura ni Siri ya mtu mmoja, hupaswi kutisha watu kisa watapiga kura Kwa mtu mwingne huku ukijua kuwa kura ni Siri, Katibu alipaswa kutafuta sababu Kuu Ya wanaccm kupanga kupiga kura upinxani

Nimeshukuru Sana Ccm kugundua kuwa watu wamepanga kupiga kura Kwa upinzani nikiwemo Mimi Mwana Ccm Kada na kuna watu nawajua zaid ya Mia watapiga kura upinzani, Katibu ameshindwa kutambua kuwa kuweka haya hadharani ameshtua wengne waliokuwa wakinyanyaswa na Mwenyekiti kujiunga kwenye huo msafara
Naomba kumuuliza Katibu kuwa Mwenyekiti Alikuwa anachukua wapinzani anawapa vyeo anatuacha sisi miaka Yote, anawachukua anawapa nafasi za kugombea ubunge huku sisi akikataza katakata hata kuwapinga Leo hiii anatutisha? Haingiii akirini Mimi na watu Wangu tulihangaishwa na upinzani Mwaka 2015 had tukafanikiwa kumweeka madarakani halafau akatudharau kusema kuwa yeye ni Ccm Mpya akatutenga Halafu tuingie kwenye sanduku la kura tumpigie haiwezekani, tutapiga kura Kwa wingi Sana Kwa upinzani liwalo liwe hata atutishie afanye anachofanya sisi tutaonesha hasira zetu kwenye sanduku
Ni undumbilakuwili mwanzo mwishoo...hahahaha siasa mchana unanawa mikono mbele usiku unanawa mikono nyuma...
 
Wakuu, Katibu Mkuu wa Ccm ametishia kuwafukuza wanaccm ambao wamepanga kumpa kura tundu lisu na kufikia mahali Ya kusema kuwa, watafukuzwa na watataifishwa Mali zao...
Atufukuze wote Ila wale wanaotulaumu kila siku wapate nafasi ya kurekebisha tunapokosea ili kudumisha amani nautengamano wa kitaifa, kwa kurekebisha dosari zinazo tuweka hapa tulipofika leo.
 
Bashiru usifokee wanachama wako, ng'amua kwanza chanzo cha uasi ndani ya chama chako. Siasa ni akili sio miguvu na vitisho
 
Atakayeonekana ana jaza sana watu kwenye mikutano yake ndiye atayeshinda pasipo kujali njia zinazotumika ktk kujaza watu. Mtanielewa baadae!
 
Katika maisha kuna wakati dhuluma huonekana kama fashion ya nyakati. Lakini wokovu wa fikra miongoni mwao wenye dhuluma huweza kubadili uelekeo wa kundi. Wale waliokoka huweza Anza kukataa dhuluma kuendelea kweny jamii.

Hapo ndy haya yanaanza kuleta ufunuo. Kama haya yameanza kusemwa na wandamizi wa zamani basi wandamizi hawa wameanza kuikana dhuluma. Katka biblia Mungu anasema "aungamae dhambi zake basi atasamehewa ".wandamizi Hao wasilaumie juu ya leo hii Bali wandamizi wapya wayatafakari mapito yao!!

Wote mliotajwa wandamizi wa Chama wa zamani kama yasemwayo na huyu Hp ni ya kweli basi na tuseme Amina!
Nchi hii ni yetu sote japo kuna MAKUNDI yenye kula mema na wengine kuishi kw taabu.

Ushauri wangu Wazee wetu ninyi pigeni kelele hadharani kabla ya October mwsho ili kundi lililokula mema kwa dhuluma lisipenye!!Mungu bariki Tanzania mpya!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
“Mwambie Bashiru asitutishe! Nani aliwaambia wafanye ubabe na kutuona wanaCCM ni wajinga? Inakuwaje tunachagua watu wanawakata? Inakuwaje wanachapisha fomu moja ya uraisi na kuzuia watu wasigombee uraisi?” -Wana-CCM
Wewe Cicadulina mbila unataka kuchomoa oxygen kwa mgonjwa. Watakulaani mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Ila safari hii watakamatana uchawi sana. Ndio waone raha ya ubabe na kufokea watu wazima. Ni suala la muda tu, Meza inapinduka....
 
Nimesoma mahali Bashiru kawa mkali, anasema watawashughulikia wasaliti wote baada ya uchaguzi, yani hawa jamaa wanawaona wanachama wa CCM ni kama mbuzi tu, wawekee majani hapo watakula, wanasahau wale ni wanadamu wana utashi wao na maamuzi yao, ubabe wa kina Bashiru lazima utawa-cost dearly kwenye sanduku la kura.
 
Back
Top Bottom