Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kakurwa upandacho ndicho uvunacho. Tuliwakaribisha wapinzani ndani ya chama na kuwapa vyeo,kama kina kina Kitila Mkumbo.Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama...
SawaMama Samia suluhu kachokoza nyuki tunduni...kapokea waunga juhudi wapya ...kituko ni pale hao wanachama wapya waliovutiwa sana na sera na ilani ya ccm wote wanatoka CHADEMA...
mfano wajumbeMtu ambae hana cha kupoteza ni wakuogopwa sana.
Bwege huyo wachana nae, katuni tu.We nae lipumbavu tu.
Kila siku ngonjera ileile mpaka unakera. Kapambaneni na liccm lenu huko, acha kuvaa ngozi ya kondoo wakati ni li mbwa mwitu.
Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
Si kina barsheelouNdio maakina nani Dada Mkuu?
Ni sawa na kukemea wanachama wa yanga au simbaBashiru hakijui chama angejifunza kwa kina Kinana ila yeye anajifanya anajua kila kitu wanachama wa ccm hawakemewi wala hawatishwi wakiamua wameamua
Mkuu binafsi sijakuelewa, fafanua tena au kama kuna Mataga mwenzio afafanue tenaWee naye eti mchambuzi wa siasa, bure kabisa wewe kijana,huna ulijualo kuhusu hii nchi ,wewe endelea kuwa punda wa lissu lakini kwa CCM umeula wa chuya
Ndugu mataga siyo kila thread lazima uelewe, nyingine siyo level yakoUnapoteza werevu tuluokuwa tunaofahamu. Umeandika kitaarabu sana mzee samahani kama takuwa nimekuudhi
Wapenzi na wanachama wa Simba walipong’oa viti club ya simba iliwajibika pamoja na kulipa gharama haikuwafukuza uanachama Kakurwa sijui anajiamini nini.Ni sawa na kukemea wanachama wa yanga au simba
Wewe mwenyewe mpiga debe tu, kule saccos yawezekana hata kadi huna.Mama Samia suluhu kachokoza nyuki tunduni...kapokea waunga juhudi wapya ...kituko ni pale hao wanachama wapya waliovutiwa sana na sera na ilani ya ccm wote wanatoka CHADEMA..
Kwani watajuaje nani kamchagua nani? Kura ni siri! Kila mtu awe huru kumchagua anaemtakaMwambie Bashiru asitutishe! Nani aliwaambia wafanye ubabe na kutuona wanaCCM ni wajinga? Inakuwaje tunachagua watu wanawakata? Inakuwaje wanachapisha fomu moja ya uraisi na kuzuia watu wasigombee uraisi?
Mwambie pia wanaCCM tuna uhuru kama wananchi wa Tanzania wa kumuunga mgombea urais, ubunge na udiwani wa Chama chochote kile na wala sio dhambi.
Uchaguzi wa mwaka huu hata kama unakadi na imani wengi bado hawajajua wampigie nani. Mpaka tarehe 28.10 lolote linaweza kutokea maamuzi ni wakati wowote....Wewe mwenyewe mpiga debe tu, kule saccos yawezekana hata kadi huna.
Anajitekenya tu na kucheka mwenyeweHivi kufukuzwa chama Kuna hasara yeyote?