Hali tete kwa Vladmir Putin, sasa ni dunia inataka kumtandika

Walinyanyaswa lini upuuzi mtupu amekabidhiwa taifa zuri analeta mauaji
USSR
Wewe bakia na wanachuku chako mapema huyo mwache na taifa lake na watu wake,huku akiendelea kuwanyooshea vichwa mbovu wote wa ulaya na Amerika ๐Ÿฅฑ
 
duh hv mnatumia akil au kario kufikir , kakutana au kautafuta mwenyew ubaya , yaan anautumia vibaya ukubwa wake halaf anataka watu wake kimya wamwache anavyoonea watoto kisa yeye mkubwa
Mengine haya yanahitaji tafakari, hivyo tulia piga gilasi ya maji kwanza utulie utarejea humu baadaye kidogo
 
Sema atakufa shujaa kwa taifa lake kwani ameukataa udhalimu wa mabeberu ameamua kusimama na taifa lake na watu wake hata wale walionjee ya taifa lake wanaonyanyasika na mabeberu ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
kwani aliye mvamia mwenzie nani?
Ukreine toka iwepo dunia kamvamia nani?
 
Jichanganyeni tu. Alichofanya juzi Urusi anaweza kukifanya pia kwa dunia nzima. Ma Sarmat yana uwezo wa kudondoka miji ya US kila baada ya nusu saa so ndani ya siku 3 Marekani itafanana na kusini mwa jangwa la Sahara
 
Nchi yao wanahaki yakufanya wanayoyapenda wao hayo nyie wala hayawahusu muwaachi hao wenyewe namambo yao

Samahani ila ni fact mbona huko upande wapili wameamua kuwapa uongozi mashoga na wasagaji ila hawapangiwi

Nandio mfumo huo wanataka kuusambaza dunia nzima huu sawa ila RUSSIA sio sawa

RUSSIA aachwe aendeshe mambo anayoyataka kama wanavyoachwa wamagharibi kutawaliwa na mashoga na wasagaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yamelenga kwa 80% maeneo yamafunzo ya MAGAIDI

kobaz iwe nn hio sio ishu kwan anaewatwanga UKRAINE nae mvaa kobaz sio

MAGAIDI hata wajifiche wapi inatakiwa wauliwe

Hata wawe na mfumo upi wanatakiwa wauliwe wasije wakausambaza DUNIA nzima halaf pasikalike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani aliye mvamia mwenzie nani?
Ukreine toka iwepo dunia kamvamia nani?
Alokwambia kama usipovamia kabla nawe hutavamiwa nani

Kama utakua hub ya MAGAIDI kama UKRAINE utavamiwa tu kabla hujavamia wengine

YUGOSLAVIA alivamia nani
LIBYA alimvamia nani
VIETNAM alimvamia nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Israel anayachukua maeneo ya palestna???
si na hao Waarabu waregeshe Nchi zetu za Afrika waliochukua mateka na kuua kwa ukamilifu!!!!
Western Sahara,Morroco,Tunisia,Libya,Egypt,!!!
Zengine ni
Somalia,Sudan,Algeria,Chad,nkt!!
 
mbwembwe na vishindo vya nato ni vingi kuliko vitendo.
nato waingize jeshi Ukreine wakapigane na Urusi tuone maiti za jeshi la Italy,France,Uk n.k zimetapakaa barabarani.
 
Huna histori na uwezo wa USA. Ila kukumbusha tu USA aliona hii vita miaka 50 back. Just think about that na sio kuona alijiandaa. End
 
Hivi kule Libya 2011 Ghadaff alikuwa amevamia nchi gani vile ?

Halafu vipi kule Palestina,wapalestina wamevamia nchi gani vile ?
Ndugu yangu Mawatu mengine ni mazuzu utahangaika bure tu humu kupigizana nayo kelele ilihali hayatakuelewa, isitoshe yanaweza kuwa yanalipwa kusambaza propaganda humu JF [emoji16]
 
Mwingine angeandika:

"Hichi sio kikao cha kwanza kukaa, wameshakaa vikao vingi na hakuna la maana walilofanya na silaha wameshatoa sana".

Na ujumbe ungefika na tungeuelewa.
Mkuu unajua kutoa somo kikubwa,sina uhakika kama amekuelewa.
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ