Hali tete Simiyu, wananchi wanalazimishwa kwenda kwenye ziara ya Rais Samia

OGOPA SANA.
Hii TK Movement ni nani?

Yaani tayari hawa watu wameanza "Kumpigia Kura Samia", hata kabla ya siku ya uchaguzi/uchafuzi?

Nani atakubali upumbavu huu!
Hakuna
 
reforms zimeshafanyika tatizo mnalala sana mnakuja kuzinduka na michango ya tone tone
Reforms gani hizo? Hizo za kusema matokeo ya urais hayapingwi mahakamani? Hiyo Tume ambayo wajumbe wake wanateuliwa na Rais? Au kuna reforms nyingine ambazo sisi hatuzijui?
 
Mikutano yote ya CCM wananchi hulazimishwa kuhudhuria na wengine hubebwa kutokea mbali ili kuonyesha kuwa, CCM inapendwa,kumbe wanna hi hawaitaki
 
😆😆😆
 
Unafikiri wao wakiwa vyumbani kwao hawajui km wamechokwa? Ccm bila katiba mbovu ambayo inawabeba kwa kutumia mizizi ya vyombo vya dola wana chao kwny zama hizi
 
Mwikitio Wa Nini
Hilo Tv Hapo Roundabout
hata baadhi ya jamaa wa chadema huku vijiweni wanaonyesha shauku kwa ujio wa mama...

mitandao ya kijamii ninadanganya sana kulinganisha na ukweli unaoendelea hapa simiyu
 
 

Attachments

  • Screenshot_20250614_214359_Gallery.jpg
    140.9 KB · Views: 15
hata baadhi ya jamaa wa chadema huku vijiweni wanaonyesha shauku kwa ujio wa mama...

mitandao ya kijamii ninadanganya sana kulinganisha na ukweli unaoendelea hapa simiyu
Hapo Kuna Wafugaji Walioitwa Tanzania Nzima Kupokea Chanjo Yaani Ujanja Ujanja
 
Wazushi kama nyie mnatakiwa kushughulikiwa.

Rais hawezi lazimisha mtu Utaenda mwenyewe tuu kwani wewe hupendi Kumuona Rais na msafara wake?
Wewe hujui kitu ila unatanguliza mahaba ya uchawa. Ungekuwa na akili ungefuatilia wafanyabishara wa Brd walivyo busy Kwa sasa kupeleka magari kusomba raia Toka vijijini Ili kuongeza idadi ya wahudhuliaji fake.
 
Wewe hujui kitu ila unatanguliza mahaba ya uchawa. Tungekuwa na akili ungefuatilia wafanyabishara wa Brd walivyo busy Kwa sasa kupeleka magari kusomba raia Toka vijijini Ili kuongeza idadi ya wahudhuliaji fake.
Huko ndio kulazimisha watu? Kihongosi Huwa anajaza watu sembuse Rais? Kijijini hawasombwi raia Bali Wana CCM kama kawaida Yao ila Rais Wataenda wenyewe.

Ni wapi umewahi ona Rais amefanya Ziara watu wasijitokeze?

Achaga ujinga wewe nyumbu wa Chadomo,Barabara zinafungwa mjini huo u busy wa biashara utautoa wapi?
 
Hata huoni aibu, pamoja na kujichanganya huko!
Kujichanganyaje? U busy utautoa wapi ikiwa Barabara kuu zitapigwa Pini?

Chadomo Huwa mna ujinga sana ,wewe jiulize unaweza acha kazi ukaenda Kwa Samia au Kwa Heche? Nani ana maamuzi ya biashara Yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…