Hali tete Simiyu, wananchi wanalazimishwa kwenda kwenye ziara ya Rais Samia

Thithiem wanasema #Ukiinama mshale ukiinuka mshale 🚶🏽‍♂️
 
Mkuu 'Erythro', kubwa ya hii yote ni hiyo Fomu inayotengenezwa na "TK Movement."

Hiyo Fomu ni uvunjifu wa sheria, na CHADEMA inalazimu ilisimamie hili kisheria.

Hii haikubaliki mahala popote.
 
Wazushi kama nyie mnatakiwa kushughulikiwa.

Rais hawezi lazimisha mtu Utaenda mwenyewe tuu kwani wewe hupendi Kumuona Rais na msafara wake?
Zamani watu wakiwa usingizini ndio walikuwa wanaona fahari kwenda kumuona rais. Sasa hivi watu wanajitambua, wanajitokeza kwa hiari yao kumuona wanayemtaka.
 
We mbwa koko utakuwa Luhaga Mpina, acha ushamba Simiyu wana tofauti gani na sehemu zingine za nchi? Unajidhalilishaji tu uonekane mpumbavu. Wananchi wana hamu ya kumwona Rais wao wasiende kwanini. Acheni siasa za kishamba.
 
Zamani watu wakiwa usingizini ndio walikuwa wanaona fahari kwenda kumuona rais. Sasa hivi watu wanajitambua, wanajitokeza kwa hiari yao kumuona wanayemtaka.
Hata Sasa sio swala la zamani.Usipoenda Kwa Rais Utaenda Kwa Heche Ili upate nini? 😁😁
 
 

Attachments

  • Screenshot_20250614_215329_Instagram.jpg
    261.8 KB · Views: 20
We mbwa koko utakuwa Luhaga Mpina, acha ushamba Simiyu wana tofauti gani na sehemu zingine za nchi? Unajidhalilishaji tu uonekane mpumbavu. Wananchi wana hamu ya kumwona Rais wao wasiende kwanini. Acheni siasa za kishamba.
Rais yupi wanahamu naye? Hakuna mazoba siku hizi. Nyie tumieni mbinu za kazamani kulazimisha ionekane m mnakubalika.
 
Huu ni upotoshaji. Mahali popote atakapotembelea Mh Rais , maelfu ya wananchi huwa na shauku ya kwenda kumuona
Hao washamba hawanaga ht aibu, ukweli ni kuwa ziara ya Rais ina ladha na hadhi hakuna mwananchi atataka kuikosa, kwanza ni adhimu sana na kule kuna mbwembwe na burudani nyingi nani asitake kwenda, hivyo vibwengo vipuuzwe, ht huyu mbwa ukute yuko Dsm ameamua tu kuzushs aangalie km atapata watakaomwunga mkono.
 
Sema waTanzania wafanye nini kuukomesha upumbavu huu.
Watulie Maeneo Waendelee Na Majukumu Yao Ya Kila
Waache Siasa Za Kulazimishana
Kizuri Chajiuza Na Kibaya Chajitembeza Sana
 
Wewe hujui kitu ila unatanguliza mahaba ya uchawa. Ungekuwa na akili ungefuatilia wafanyabishara wa Brd walivyo busy Kwa sasa kupeleka magari kusomba raia Toka vijijini Ili kuongeza idadi ya wahudhuliaji fake.
Mama hauziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…