Tetesi: Hali tete Tanzania: Baraza la Maaskofu laandaa Waraka Mzito wa X-Mass

Kumbe ni tetesi mm nasubiri hilo tamko km lipo
 
Sifikiri kama kuna uhitaj wa waraka, Nafikiri huu ni utawala usiohitaji waraka wala matamko koko yyt yale.Nawashauri wachukue hatua tu kama wanakiamini wanachokipigania.
Usiombe hilo litokee, huwajui wakatoliki kaa pembeni na ushabiki maandazi wako. Jiwe anaujua muziki wao vizuri mwambie haya faragha usikie atakachokujibu.
 
Sasa wakishatoa waraka inasaidia nini? Kama huna inside info basi fuatilia kiini cha kubadilishwa kwa katibu mkuu wq baraza la Maaskofu.
Hawaelewi hawa wajiandikia tu. Usalama wa nchi si swala la lele mama mtasubiri sana wachafuzi wa amani ya nchi. Trump amepeleka kikosi cha jeshi kulinda amani mpakani mwa Mexico. Kagame juzi kakagua kikosi chake cha jeshi huku akisisitiza kuwa tayari kutetea amani ya nchi. Halafu nyinyi mnajiandaa na msivyojua. Haya jaribuni lakini serikali iko imara kutuhakikishia amani na Usalama
 
Sifikiri kama kuna uhitaj wa waraka, Nafikiri huu ni utawala usiohitaji waraka wala matamko koko yyt yale.Nawashauri wachukue hatua tu kama wanakiamini wanachokipigania.
Nani hao wachukue hatua. Mabeberu? Naelewa huna maana hiyo!
 
Sasa Mkuu hiyo hali tete vp wakati ni maoni yao tu ya kila siku
 
Sifikiri kama kuna uhitaj wa waraka, Nafikiri huu ni utawala usiohitaji waraka wala matamko koko yyt yale.Nawashauri wachukue hatua tu kama wanakiamini wanachokipigania.
Uwe na adabu na nidhamu katika matumizi ya lugha. "Waraka koko" ndio nini?
 
Baada ya ule waraka wa Maaskofu wa Katoliki kutoka, Uhamiaji ulichunguza uraia wa katibu wa baraza la Maaskofu Padri Raymond Saba.. Huu wa sasa hivi yule Dr. Kitima sijui watampa kesi gani.
 
Ningekuwa mm mwenyekiti wa jumuia walai ningemfuta kwenye jumuiya yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…