Hali ya Chid Benz Inasikitisha sana

Kama kweli ni mteja, mtu pekee anayeweza kumsaidia Chidi Benz ni Chidi Benz.
Mkuu kwa hali aliyonayo sahv anahitaji msaada, yeye hajitambui, apewe msaada ajitambue kwanza afu ndo tuendelee na mengine
 
Kulalamikia nchi ni ujinga. Kila mtu yupo accountable kwa matendo yake.

Young Dee yupo USA anapambana na hali yake.
Young Dee vp ,si alishaacha madawa
 
Wewe ulipomuona Chid yupo kwenye hali ile,ulimpa msaada wowote ule?

Au ulikimbilia tu JF kufungua Uzi na kuwataka wengine ndio wamsaidie?
Kutoa tuu taarifa inaweza ikawa msaada coz JF ni platform kubwa sana, angalia hii thread sahv ina views zaidi 5k, utajuaje mmoja kati yao akafanya maamuzi ya kwenda kumsaidia?
 
Nafkir angepelekwa hospital akae chini ya uangalizi mpaka apone huo mguu bila hivyo .......
 
Chidi benzi ni sikio la kufa. Mnalaumu tu wasanii wenzake, Jamaa kwa hali aliyofikia hata apewe million 100 itaisha ndani ya mwezi kisha atarudia hali yake.
Now ni zaidi ya gunia la misumari hakuna anaeweza kulibeba
Kwa hali aliyonayo kwa sasa haitaji hela anahitaji uangalizi wa karibu sana
 
Ego ndo imemfikisha hapo..afu inaonekana iko kwenye genes kabisa
 
Hakuna wa kumsaidia zaidi yake mwenyewe, hakuna kitu kigumu kutoka kama drugs na haijalishi tajiri au maskini, akichomoka madawa atakuwa na bahati sana, madawa yanakumaliza live huku ukijiona sawa tuu na huna tatizo lolote
Uko sahihi ila kwa hali aliyonayo anahitaji msaada wa matibabu na cancelling ili arudi kwenye ufahamu wake coz hajitambui
 
Iwe Thread
 
Mama chidi YUPO chanika ana maisha yake safi pengine wamemchoka na mauteja yake wakamaacha Aishi kama mbuzi wa sinza Kwa Remy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…