Hali ya Chid Benz Inasikitisha sana

Sana mkuu wengi sana. Sijui huwa wanaingia kwa kujua au kuna watu huwa wanawategeshea then wanajikuta tayari washaingia maana wana mifano mingi ya wenzao waliopotezwa na hiki kitu.
Company na kuendekeza makundi. Unakuwa na kampani ya watu wanaokushawishi ufanye mambo ambayo hata wewe unaona kabisa kuwa hili sio sawa ila wao wanakupush ufanye hadi unajikuta umeshafanya.

Dawa ni kuwakwepa na kuwa na ushikaji wa mbali ratiba ziwe sio za kushikana muda wote.
 
Kweli kabisa kinacho mponza Chid ni wale masela wake ukipita mitaa ya Karume kule kunachimbo lao wanapiga sana mitungi na nahs akiwa na ela ndo wanamsonga ila zikija kuisha wanamuacha apambane
 

Kulalamikia nchi ni ujinga. Kila mtu yupo accountable kwa matendo yake.

Young Dee yupo USA anapambana na hali yake.
 

Kumlalamikia mtu mwingine for your shortcomings ni ujinga.
 
Kwa kile kidonda alicho nacho mguu wa kulia, ukimuangalia unaweza ukalia
Mwezi mmoja nyuma alienda kwa mkuu wa mkoa akitokea boma Kota ndio maskani yao na kwao alipokua. Alipewa Laki 2, akaishia kunywa pombe na kuwatoa masela wake. Ndani ya usiku mmoja waliimaliza ile pesa

Kile kidonda kinamtafuna Sana, alafu miguu yote imevimba. Kikimuuma huwa analia Kama mtoto huku akijikuna

Mungu amfanyie wepesi either kwa kumponja au kumchukua mapema
 
Ila madawa ya kicenge sana, hebu imagine ile hisia unaipataga ukiwa na nyege zinakujia taswira za demu yeyote mkali unaemtamani unabanwa kweli kweli halafu huna cha kufanya unaishia kujichukulia sheria mkononiπŸ˜‚!

Sasa hisia ile ile ni kwenye alosto ya Unga na inakuwa ni mara 50 au zaidi. Yani unakabwa na mwani hadi unaona bora utungue hata TV ya mzazi wako ukaiuze hata elfu 80 upate pindo tu 😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeee tupu
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… dah maisha bhna yaani uraibu wowote haujawai kuwa na matokeo mazuri.....ni starehe yenye athari mbaya.....madhara ya moto majivu....
 
Kuacha madawa ni sawa na wewe kuacha kutowmba mkuu! Hebu imagine umezoea kupiga mbususu deile ghafla uambiwe acha hio vita utaiweza? Ndio maana watu wanajua kuwa kuna Ukimwi ila bado still wanagonga kavu tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Afu mtu anakuja hapa anailalamikia serikali sijui Ruge sijui Kussaga. Ni ujinga.

Watu kibao mziki haujawalipa ila hawajakimbilia madawa. Nje watu kibao mziki umewalipa na bado wameingia kwenye dimbwi la unga. Kila mtu ana uamuzi to make na kuufuata. Ni ujinga kulalamikia mtu mwingine au serikali kwa personal choices zako.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… dah maisha bhna yaani uraibu wowote haujawai kuwa na matokeo mazuri.....ni starehe yenye athari mbaya.....madhara ya moto majivu....
Mkuu uraibu ni mbaya ila uraibu mbaya zaidi ni ule unaoathiri afya yako ya mwili mkuu kama mdawa na ulevi na ngono zembe.

Kuna watu wana uraibu na soka yani hakosi kuangalia ligi za mipira kila wakati hadi anakera kwa kuchelewa kurudi home. Hio inaathiri socially ila sio health ya mrahibu.

Kuna wacheza kamari, hio athari zake ni kiuchumi ila afya ya mkamaria inabakia stable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…