hilo jengo lina zaidi ya miaka kumi mpaka sasa,....kuna wakati wanafunzi walikuwa wanaliogopa,... watalamu wakaliskimu, na kulipaka rangi upya wakati wa likizo,..wanafunzi wanarudi wanaendelea kulitumia,...
Je, wewe binafsi unaishi humo humo kwenye hilo jengo?
Isije ikawa kama Watawala wa Tanzania kila siku wanaeleza kwamba wameboresha vizuri sana huduma za afya kwenye hospitali zote za Serikali hapa nchini, lakini kitu cha ajabu wao wenyewe wakiugua ugonjwa Mdogo tu kama vile kipandauso wanapanda ndege na kwenda kutibiwa India au Ulaya!