Arushaone bado bado bana may be kwenye alhamisi hivi ndo nitakuwa mjini
Safi sana aise mwambie Erickb52 tunamtafuta sana aise na member wajue kuwa amani imerudi humu maana ilikuwa balaa watu hatujiamini kabisa kuwepo humu
Copy kwa Mungi, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Preta, Madame B , Blaki Womani, Filipo, watu8, Judgment@
Blaki Womani ndiye mkweo mkuu CHUAKACHARA. Pia umesalimiwa na Mr Rocky sweetlady kapistrano stevoh JUST Blaise Chepii IGWE Tonykp matatu et al.
Karibu Arusha mkuu!
Lo! Mama Mkwe! heshima kwa mama Mkwe! a
Mkuu CHUAKACHARA huyu Blaki Womani ndiye hasa mwanamke wa moyo wangu, nampenda kuliko ninavyojipenda
mimi mwenyewe.

Heshima kwake Mkwe wangu. ....kuliko unavyojipenda! Hii kali huna tofauti na Yesu kutoa uhai wake kwa ajili ya anadamu (kwa imani ya wakristo)
Arushaone bado bado bana may be kwenye alhamisi hivi ndo nitakuwa mjini
Safi sana aise mwambie Erickb52 tunamtafuta sana aise na member wajue kuwa amani imerudi humu maana ilikuwa balaa watu hatujiamini kabisa kuwepo humu
Copy kwa Mungi, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Preta, Madame B , Blaki Womani, Filipo, watu8, Judgment@
Lo! Mama Mkwe! heshima kwa mama Mkwe! a
Mkuu CHUAKACHARA huyu Blaki Womani ndiye hasa mwanamke wa moyo wangu, nampenda kuliko ninavyojipenda
mimi mwenyewe.
Heshima kwake Mkwe wangu. ....kuliko unavyojipenda! Hii kali huna tofauti na Yesu kutoa uhai wake kwa ajili ya anadamu (kwa imani ya wakristo)
Filipo jasiri haachi asili.........