HALI YA HATARI Chit-Chat IMEKWISHA RUDINI JAMVINI SASA FULL KUJIACHIA!!

Siamini narudi arusha kwa miguu ndio kwanza nipo chalinze dar imenifilisi

OMG! Tonykp ungejua ungeenda White Party wangekuonea huruma. Anyway pole sana mkuu. Ushauri: omba lifti kwenye malori! Good lucky though.
 
Last edited by a moderator:
usishangae ntakuelewesha vizuri kuhusu pini hiyo ni kwaajili ya kufunga kwenye nywele haswa wakati wa shuguli muhimu mengine ntakuelewesha taratibu maana hutakiwi kujua sana....

Orait kumbe Rich woman! Nimestkia!
 
Last edited by a moderator:
Orait kumbe Rich woman! Nimestkia!

kuna uzi pale MMU unazungumzia habari ya pini niliishia kucheka maana mleta uzi alidai si uchawi ila ni mbinu kutoka kwa wabibi eti wakati wa tendo mwanadada unafunga pini kwenye nywele zako ila mwanaume asikuone wakati unaifunga basi ukiifunga hiyo mwanaume anakuwa na stamina ya ajabu mpaka pale utakapoamua wewe kuito hiyo pini....ukipata muda ichungulie hiyo uzi utaelewe vizuri
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…