:A S angry::A S angry::A S angry:
mzima kabisa nimekumiss sana uncle vipi TA samaki vibua hawajambo
Miss you too! Huku hatujambo sana. Kila kitu kipo huku, ni wewe tu
Watabebeka kweli yf Blaki Womani? Ngoja Mr Rocky aje akujibu. Ila ingekuwa gari la Vin Diesel lingefikisha bila kutoa shombo.
Polepole na my wife Blaki Womani. Nakuonya wewe Mzee CHUAKACHARA!!!
huna haya una wasiwasi na baba mkweo
Maembe yapo ya kutosha.Tuma hela za BAVARIA honey, yaani nazinywa kweli, nikikosa roho inataka kutoka.
Eeeeeeeeeeeeeeeee tanga sikuwepo sasa sikia watu wanashindia bavaria sishida te hii huyo KOKUTONA umemfanyeje maana nasikia akinywa bavaria kopo atupi linabaki kwa ajili yakujaza mte!kazi unayo Arushaone kumbe tanga hamkufanya mchezo mlienda kikazi zaidi??Nakutumia kwa m/gram, naandika KOKUTONA Bishanga kwenye bahasha. Swal la siri Ruttashobolwa? Jibu KakaKiiza!