Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

Kikwazo ni USA+UK wakiitumia Rwanda kwa kadri wawezavyo.
rwanda na wakubwa zake sio kikwazo kwa ufaransa ila tabia zao ndio kikwazo coz pote walipo ufaransa kuna vita

kwaiyo tanzania na kenya wenyewe hawana shida na ufaransa?
 
rwanda na wakubwa zake sio kikwazo kwa ufaransa ila tabia zao ndio kikwazo coz pote walipo ufaransa kuna vita

kwaiyo tanzania na kenya wenyewe hawana shida na ufaransa?
Unadhani vipi sio kikwazo wkt vita vyote vilivyotokea Ufaransa amekua na mkono wake,kuanzia kum-support mobutu kijeshi,Serikali ya habyarimana Ufaransa iliisupport sana kijeshi na wkt huo huo ikijulikana kote ambako Rwanda alipigana both Congo na Rwanda kwenyewe alikua anakua supported na USA+UK.

Tz na Kenya hawana shida kwa sababu hakuna Common history na wafaransa.

Unaionaje influence ya Uingereza hapo Kenya?
 
sasa hapo kikwazo sio rwanda bali ni tabia zake zakupenda vita ndio kikwazo
 
Leo hii Burundi wameambiwa wapunguze jeshi lenye watu zaidi ya 1000huko somalia hata huko somalia wanapata uzoefu pia
 
Hapa ktk maslahi na Tz tunapata nini ndo ile hoja yangu inapokuja...mercenaries...+ looting hakuna kingine hapa tena kipindi cha M23 aisee Mwakibinga angetuinua sana koz hakuna aliyeingia front zaidi ya Tz so tulikuwa wenyewe tunge loot vya kutosha tu
 
M23 ukiwatajia Mwakibinga mpaka leo wanatetemeka
 
Juzi kati kuna waasi wanajiita wachunguzi walipiga wanajeshi wa kagame na kuuwa 14 na 60 kuumizwa vibaya sana, kifupi walichoma kambi nzima ya RDF huko maeneo ya kisenyi. Sasa pata picha.
Hao ndio wazee wa battlefield, siyo RDF wa kupambana na wapinzani.
 
Leo hii Burundi wameambiwa wapunguze jeshi lenye watu zaidi ya 1000huko somalia hata huko somalia wanapata uzoefu pia
Hii ndio top 25:

Here are the Top 25 countries providing UN Peacekeepers:

1. Ethiopia (8,326)
2. India (7,471)
3. Pakistan (7,161)
4. Bangladesh (6,772)
5. Rwanda (6,146)
6. Nepal (5,131)
7. Senegal (3,617)
8. Burkina Faso (3,036)
9. Ghana (2,972)
10. Egypt (2,889)
11. Indonesia (2,867)
12. China (2,639)
13. Tanzania (2,341)
14. Nigeria (2,170)
15. Niger (1,871)
16. Togo (1,661)
17. Morocco (1,607)
18. Chad (1,489)
19. Uruguay (1,457)
20. South Africa (1,427)
21. Brazil (1,303)
22. Kenya (1,229)
23. Benin (1,174)
24. Cameroon (1,137)
25. Italy (1,114)

Rwanda iko top 5,Burundi iko no. Ngapi hapo?hahah, number hazidanganyi bro.
 
watu wanamchukulia burund simple
Sehemu ya hio habari khs departure ya Burundi inasema "But as the Burundi troops are poorly equipped, it was then decided for operational reasons that the first phase of departures should be just the Burundi contingent, the source said."

Hapo kwenye "the Burundi troops are poorly equipped,",umeelewa nini boss?

Habari kamili iko kwenye theeastafrican.co.ke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…